Sijapenda kwakweli 😒Ahahahahah...
Nikiwa sina hela huwa nawataman sana wanawake na kula vizuri.Yan kila mara mnara unasoma 4g halaf njaa inauma balaa.
Ila nikizipata sasa, njaa huwa haiumi kabisaa halaf huwa nasahau kama kuna madem duniani mpaka senti ya mwisho inaposha kwenye project yangu kwa waat huo like ujenz n.k.
Sijui nina shida gani.
Yaani pesa inapotea mkuu sijui hawa matajiri wanaweza vipi kucontrol pesa zao. Siku izi nikisikia mtu kafirisika sishangaiUnanikumbusha mbali saana!
Niliweka pesa mara ya kwanza bank crdb Kama 7m wakati naingia first year ilkuwa mfukoni nkibakiwa na laki moja naenda kudroo zingine tena kwa sku lazma niende bank mara 2 baada ya wiki moja tu nlikuta nna laki 4 bank
Acha ujinga mkuu.Ni priorities tu ndio unapokwamiaYaani pesa inapotea mkuu sijui hawa matajiri wanaweza vipi kucontrol pesa zao. Siku izi nikisikia mtu kafirisika sishangai
Wengine capital, ila ma plan yamejaa kibao waiting for execution "comand"Tatizo kubwa ambalo wengi wanalo ni business plan
Capital sio issue kubwa
Unazo plan ?Wengine capital, ila ma plan yamejaa kibao waiting for execution "comand"
Plan inaenda sambamba na commitment[emoji23][emoji23][emoji23] Hizo plan kila mtu anazo mkuu shida inaanzia pale unapopata mtaji.
Pia nilichojifunza vitu ambavyo ni hatari kwa pesa za vijana wengi watafutaji cha kwanza upatu/gambling, wanawake, pombe, ukiangalia vizuri vyote vinaambatana na tamaa
Uzi tayari
Si bora huyo..nina rafiki yangu anaitwa pieree yeye akipataga mshahara utadhani kapokea milion mia,ndani ya siku 5 tu anaanza kulia njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Million 5 tu ndo fujo zote hizo.
Mkuuu ukishika 50m utaagiza bomu North Korea utulipue.
Nimecheka sana
Kuna jamaa hapa jf aliwahi kuandika ukishika pesa nyingi ambazo hukuwahi shika kuna asilimia 90 ya kuzipoteza ndio utakuja simama tena akili ikiwa imekaa sawaMillion 5 tu ndo fujo zote hizo.
Mkuuu ukishika 50m utaagiza bomu North Korea utulipue.
Nimecheka sana
Lakini hujaeleza kuhusu chawa a. K. A wadananda wapambe nuksi.Kuna jamaa hapa jf aliwahi kuandika ukishika pesa nyingi ambazo hukuwahi shika kuna asilimia 90 ya kuzipoteza ndio utakuja simama tena akili ikiwa imekaa sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akipokea mshahara nishtue nije kumkomesha [emoji23][emoji23][emoji23]Si bora huyo..nina rafiki yangu anaitwa pieree yeye akipataga mshahara utadhani kapokea milion mia,ndani ya siku 5 tu anaanza kulia njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]