Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe

Mkuu umenionea sijawahi tumia forex....nimepoteza pesa kwenye ufugaji wa kuku tu maana nilifanya uwekezaji mkubwa sana
Aha pole mkuu.....
nmesena fx sabab fx ukiifanya bila kuwa na proper knowledge.... is the easiet way ya kupoteza pesa zako zote within one second.
 
1/10 yaan huyo namchinja sku hyo hyo[emoji16][emoji16][emoji2][emoji2]
 
Ila wanawake watamu jamani...mie nilishajiamulia wacha tuu nizike hela yangu kwenye papuchi maana ndio raha ya dunia na hizo hela zenye nukifa nktaziacha tuu so bora nifurahie maisha kwa kugegeda papuchi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Na ukimwi ufurahie
 
Huyu jamaa kama umemkumbuka kwenye ile story yeye na rafiki yake Agustino walivyoenda kwa mganga kutafuta utajiri utagundua kuwa huyu chalii ni mwandishi tu wa story na sio yaliyowahi kumkuta yeye.
Kumbe ndo huyu?[emoji16][emoji16]
 
Zile noti ukizitoa kwenye labberband ni nyingi [emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa nazitoa zote nazitawanya kwenye kitanda kisha napiga nazo picha [emoji23][emoji23] siku nimefirisika kwa hasira nikafuta picha zote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji16]
 
Umenikuna sana mkuu, nakumbuka nilifuja 4.5 million kwa mambo ya kijinga tena kijinga sana, kuna ishu muhimu nilitakiwa niifanye lakini sikuifanya mwisho wa siku ni majuto tu, yani acha tu nashindwa hata kusimulia, lakini nashukuru kwa sasa nimejifunza tayari. Pole sana naamini ni mapito tu
 
Million 5 tu ndo fujo zote hizo.
Mkuuu ukishika 50m utaagiza bomu North Korea utulipue.
Nimecheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wew jamaa umefanya nicheke kama chizi wa Lumumba aka Mataga
 
Wewe mdada utavunja mbavu zangu sasa, kwamba t-shirt inawakawaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijabahatika kushika hela nyingi kias fulan, wallah swez fanya ujinga wa kupoteza kirahisi, mfn mil 5 zinaishaje bila kufany jambo la maana? Hapan kwangu haiwezekan aseeeeeh
Jua huzipati kamwe
 
Pia bei za incubator nazo ni changamoto unakuta ya mayai 120 bei ni 450,000 . Halafu ya mayai 1000 ni 1.5m ,sasa kwa sisi wachumi ni bora ujichange tu ununue ya mayai mengi unakuta kunaunafuu kidogo
mkuu kuna ya mayai 3600 inauzwa 3.5M kama mpo tayari nicheki.
 
Mpuuzi kweli huyo🤣🤣🤣,,,mie naanza kuwaadhibu mastaa wa kibongo! Wote wale ninaowatamani hasa irene na tuerny ndio ntaanza nao!
Steve nyerere atakula laki laki kuwaelekeza hoteli nilipo 😂😂😂!!!

Nikiwamaliza nahamia kwa pisi kali za UDSM na IFM najua katika 500M umalaya hautamaliza hata 50M nishakinai. Hio iliobakia 350M inaingia fixed 100M nafanyia mipango ya maana sasa.

Unajua hela nyingi ya mkupuo inatia wazimu ila muhimu ni kuiwekea limit ya wenge clearance. Kujifuta wenge ni lazima yani ila sasa usitumie yote.
 
Mkuu nilichojifunza sana ni kuwa kuku wanachukua muda kuadopt wakizoea mazingira na ardhi yako inakuwa sio rahisi kuumwa umwa....pia hivi vi aloevera, ndulele, na mwarobaini ni tiba nzuri sana sana
Mkuu kuna jamaa yangu mwaka 2018 aliingia kwenye ufugaji wa kuku wa mayai kichwa kichwa, akanunua kuku 3000, akakodi eneo akajenga mabanda ya kisasa na nyumba ndogo ya mlinzi, akaita taneso akawalipapesa nyingi wamvutie umeme fasta.
Mkuu jamaa alipoteza pesa ndefu sana na walekuku wote walikufa, yani alikula shoti ya zaidi ya milion 40, uwa nikimuuliza vipi ile project ananijibu acha usen** kwani wewe hujawahi fanya uwekezaji ukapoteza ela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…