Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Mkuu umenionea sijawahi tumia forex....nimepoteza pesa kwenye ufugaji wa kuku tu maana nilifanya uwekezaji mkubwa sanaforex hyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenionea sijawahi tumia forex....nimepoteza pesa kwenye ufugaji wa kuku tu maana nilifanya uwekezaji mkubwa sanaforex hyo
yaan binadamu tunatofautia sana asee mm sjawahi kuona raha ya papuch mzee. huwa nafanya ili niweze ku ejaculate bhas. huwa nashangaa mtu analia akiachwa.
ulifanya makosa yapi?Mkuu umenionea sijawahi tumia forex....nimepoteza pesa kwenye ufugaji wa kuku tu maana nilifanya uwekezaji mkubwa sana
Pure kienyeji mkuu...Mkuu kuku wa aina gani hao ulikuwa unafuga??
Mpaka leo sijui nilikosea wapi mkuu, maana chanjo nilitumia kwa wakati tena kwa kumshirikisha doctor wa mifugo....usafi nilijitahidi,maji masafi sana muda wote na chakula kilikuwa cha kutosha maana nilikuwa nanunua hadi debe 6 na mashudu,chokaa,damu, mahindi yaliyobalazwa, mboga za majani na vitamin na vingine ila kuna kipindi magonjwa yalikuwa yanabeba kuku karibu 8 kwa siku....ulifanya makosa yapi?
asee pole sana mkuu ila umenipa moyo ambavyo hujakata tamaa.Mpaka leo sijui nilikosea wapi mkuu, maana chanjo nilitumia kwa wakati tena kwa kumshirikisha doctor wa mifugo....usafi nilijitahidi,maji masafi sana muda wote na chakula kilikuwa cha kutosha maana nilikuwa nanunua hadi debe 6 na mashudu,chokaa,damu, mahindi yaliyobalazwa, mboga za majani na vitamin na vingine ila kuna kipindi magonjwa yalikuwa yanabeba kuku karibu 8 kwa siku....
nahisi kuku ilichukua muda kuja kuzoea mazingira nahisi maana niliwatoa kijijini sana wakikwa na miezi 2 hadi 3 kwa bei ya elfu 4 mmoja nikawaleta mjini tena nikawa nafungia bandani masaa 24....
Waliisha wote wakabakia kama 8 tu, ajabu sahizi muda ambao siwajali kabisa ndo wanakuja vizuri, maana hela ya pumba watage wasitage nawahudumia na dawa natumia za asili tu aloevera na nyingine, wamefika 29 sahizi na 6 wanalalia kwa mara nyingine hadi sasa....
Mkuu wanachangamoto sana mimi nilishawishika mwaka huu nikanunua majike 50 jogoo 5 . Walipoanza kutaga ndio nilipata shida wanachanganya balaa wakiwa wengi unakuta wengine wanaatamia mayai mwingine anaenda hapo hapo kutaga mayai mapya.Pure kienyeji mkuu...
Kosa lako ni hilo kukusanya kuku toka sehemu tofauti tofauti kila kuku anakuwa na ugonjwa wake ambao huujui wanaambukizana na pia mabadiliko ya hali ya hewa.Mpaka leo sijui nilikosea wapi mkuu, maana chanjo nilitumia kwa wakati tena kwa kumshirikisha doctor wa mifugo....usafi nilijitahidi,maji masafi sana muda wote na chakula kilikuwa cha kutosha maana nilikuwa nanunua hadi debe 6 na mashudu,chokaa,damu, mahindi yaliyobalazwa, mboga za majani na vitamin na vingine ila kuna kipindi magonjwa yalikuwa yanabeba kuku karibu 8 kwa siku....
nahisi kuku ilichukua muda kuja kuzoea mazingira nahisi maana niliwatoa kijijini sana wakikwa na miezi 2 hadi 3 kwa bei ya elfu 4 mmoja nikawaleta mjini tena nikawa nafungia bandani masaa 24....
Waliisha wote wakabakia kama 8 tu, ajabu sahizi muda ambao siwajali kabisa ndo wanakuja vizuri, maana hela ya pumba watage wasitage nawahudumia na dawa natumia za asili tu aloevera na nyingine, wamefika 29 sahizi na 6 wanalalia kwa mara nyingine hadi sasa....
Asante inawezekana hiyo maana sahizi naona kidogo wanaelekea elekeaKosa lako ni hilo kukusanya kuku toka sehemu tofauti tofauti kila kuku anakuwa na ugonjwa wake ambao huujui wanaambukizana na pia mabadiliko ya hali ya hewa.
Mkuu hiyo ya kuku kwenda kutagia pale ambapo kuku mwingine anatagia, umenifurahisha sana maana wangu walikuwa na tabia hiyo yani kukiwa na mayai 10 yamelaliwa leo kesho unakuta nayai 14 pia unakuta wawili wanang'ang'ania kulalia sehemu 1....Mkuu wanachangamoto sana mimi nilishawishika mwaka huu nikanunua majike 50 jogoo 5 . Walipoanza kutaga ndio nilipata shida wanachanganya balaa wakiwa wengi unakuta wengine wanaatamia mayai mwingine anaenda hapo hapo kutaga mayai mapya.
Kwenye kutotoa vifaranga kuna baadhi ya kuku anatoka na kifaranga kimoja katika mayai kumi .[emoji23][emoji23]
Bora wenye incubator inasaidia asee
Yes mkuu sijakata tamaa japo nakishughuri so nikitoka jioni nawahudumia vizuri.....kitu nilichogundua kuna dawa za asili kama mwarobaini, aloevera zinatibu sana kuliko hata dawa zilizotenfenezwa na wataalamu pia usafi wa maji ni muhimu ukiweza kubadili maji kila siku utafurahi....asee pole sana mkuu ila umenipa moyo ambavyo hujakata tamaa.
Mm natafuta mahali nitapa kuku kwa bei nzur wa kienyeji pure nipo darMkuu wanachangamoto sana mimi nilishawishika mwaka huu nikanunua majike 50 jogoo 5 . Walipoanza kutaga ndio nilipata shida wanachanganya balaa wakiwa wengi unakuta wengine wanaatamia mayai mwingine anaenda hapo hapo kutaga mayai mapya.
Kwenye kutotoa vifaranga kuna baadhi ya kuku anatoka na kifaranga kimoja katika mayai kumi .[emoji23][emoji23]
Bora wenye incubator inasaidia asee
Pia bei za incubator nazo ni changamoto unakuta ya mayai 120 bei ni 450,000 . Halafu ya mayai 1000 ni 1.5m ,sasa kwa sisi wachumi ni bora ujichange tu ununue ya mayai mengi unakuta kunaunafuu kidogo
watakuja mkuu ingekuwa iringa hata kesho asubuh ningekupeleka bush ukachukue wa miezi 3 kwa 3500 hadi elfu 4 tuMm natafuta mahali nitapa kuku kwa bei nzur wa kienyeji pure nipo dar
Njoo nikushikishe.Sijabahatika kushika hela nyingi kias fulan, wallah swez fanya ujinga wa kupoteza kirahisi, mfn mil 5 zinaishaje bila kufany jambo la maana? Hapan kwangu haiwezekan aseeeeeh