Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe

yaan binadamu tunatofautia sana asee mm sjawahi kuona raha ya papuch mzee. huwa nafanya ili niweze ku ejaculate bhas. huwa nashangaa mtu analia akiachwa.

Wanaolia hao wajinga utalizajwe na papuchi bwana...sasa wee ku ejaculate sii ndio raha yenyewe kaka
 
ulifanya makosa yapi?
Mpaka leo sijui nilikosea wapi mkuu, maana chanjo nilitumia kwa wakati tena kwa kumshirikisha doctor wa mifugo....usafi nilijitahidi,maji masafi sana muda wote na chakula kilikuwa cha kutosha maana nilikuwa nanunua hadi debe 6 na mashudu,chokaa,damu, mahindi yaliyobalazwa, mboga za majani na vitamin na vingine ila kuna kipindi magonjwa yalikuwa yanabeba kuku karibu 8 kwa siku....

nahisi kuku ilichukua muda kuja kuzoea mazingira nahisi maana niliwatoa kijijini sana wakikwa na miezi 2 hadi 3 kwa bei ya elfu 4 mmoja nikawaleta mjini tena nikawa nafungia bandani masaa 24....

Waliisha wote wakabakia kama 8 tu, ajabu sahizi muda ambao siwajali kabisa ndo wanakuja vizuri, maana hela ya pumba watage wasitage nawahudumia na dawa natumia za asili tu aloevera na nyingine, wamefika 29 sahizi na 6 wanalalia kwa mara nyingine hadi sasa....
 
asee pole sana mkuu ila umenipa moyo ambavyo hujakata tamaa.
 
Pure kienyeji mkuu...
Mkuu wanachangamoto sana mimi nilishawishika mwaka huu nikanunua majike 50 jogoo 5 . Walipoanza kutaga ndio nilipata shida wanachanganya balaa wakiwa wengi unakuta wengine wanaatamia mayai mwingine anaenda hapo hapo kutaga mayai mapya.

Kwenye kutotoa vifaranga kuna baadhi ya kuku anatoka na kifaranga kimoja katika mayai kumi .[emoji23][emoji23]

Bora wenye incubator inasaidia asee
 
Pia bei za incubator nazo ni changamoto unakuta ya mayai 120 bei ni 450,000 . Halafu ya mayai 1000 ni 1.5m ,sasa kwa sisi wachumi ni bora ujichange tu ununue ya mayai mengi unakuta kunaunafuu kidogo
 
Kosa lako ni hilo kukusanya kuku toka sehemu tofauti tofauti kila kuku anakuwa na ugonjwa wake ambao huujui wanaambukizana na pia mabadiliko ya hali ya hewa.
 
Asante inawezekana hiyo maana sahizi naona kidogo wanaelekea elekea
 
Mkuu wanachangamoto sana mimi nilishawishika mwaka huu nikanunua majike 50 jogoo 5 . Walipoanza kutaga ndio nilipata shida wanachanganya balaa wakiwa wengi unakuta wengine wanaatamia mayai mwingine anaenda hapo hapo kutaga mayai mapya.

Kwenye kutotoa vifaranga kuna baadhi ya kuku anatoka na kifaranga kimoja katika mayai kumi .[emoji23][emoji23]

Bora wenye incubator inasaidia asee
Mkuu hiyo ya kuku kwenda kutagia pale ambapo kuku mwingine anatagia, umenifurahisha sana maana wangu walikuwa na tabia hiyo yani kukiwa na mayai 10 yamelaliwa leo kesho unakuta nayai 14 pia unakuta wawili wanang'ang'ania kulalia sehemu 1....
 
asee pole sana mkuu ila umenipa moyo ambavyo hujakata tamaa.
Yes mkuu sijakata tamaa japo nakishughuri so nikitoka jioni nawahudumia vizuri.....kitu nilichogundua kuna dawa za asili kama mwarobaini, aloevera zinatibu sana kuliko hata dawa zilizotenfenezwa na wataalamu pia usafi wa maji ni muhimu ukiweza kubadili maji kila siku utafurahi....

Mwisho yale mapumba ya mpunga ni changamoto yanaleta utitiri na mafua kwa kuku so mimi natumia nyasi pure na udongo mwingi nimeutandaza naona wanakwemda vizuri
 
Mkuu wanachangamoto sana mimi nilishawishika mwaka huu nikanunua majike 50 jogoo 5 . Walipoanza kutaga ndio nilipata shida wanachanganya balaa wakiwa wengi unakuta wengine wanaatamia mayai mwingine anaenda hapo hapo kutaga mayai mapya.

Kwenye kutotoa vifaranga kuna baadhi ya kuku anatoka na kifaranga kimoja katika mayai kumi .[emoji23][emoji23]

Bora wenye incubator inasaidia asee
Mm natafuta mahali nitapa kuku kwa bei nzur wa kienyeji pure nipo dar
 
Mkuu nakuomba inbox brother

Back
Top Bottom