Umasikini wakita mizizi zaidi Kenya: Taarifa ya Benki ya Dunia

Umasikini wakita mizizi zaidi Kenya: Taarifa ya Benki ya Dunia

Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini hali UMASIKINI uliokita MIZIZI iko hivyo, ilhali nchi inajipambanua kuwa ni miongoni mwa nchi zenye uchumi mkubwa kabisa katika bara la Afrika? Jibu kwa swali hilo ni rahisi sana.

Licha ya kuwa ni swali la msingi. Jibu lake ni hili, uchumi wa Kenya umejengwa kwenye misingi isiyo shirikishi. Kuna uchumi mkubwa (licha ya kuwa wengi wanatilia shaka uhalisia na usahihi wa tarakimu hizo) lkn haunufaishi watu walio wengi. Nchini Kenya kuna watu wachache ambao ni matajiri kupindukia. Wanaishi ulimwengu wa kwanza. Wanafanya kazi, kutibiwa, kununua, kuishi, kusomesha watoto wao, kwenye world class (standard) environment.

Lkn kwa upande mwingine, wengi wakiishi kwenye mazingira magumu sana. Kuanzia wanapoishi, kufanya kazi, kutibiwa, kusomesha watoto wao, kununua, n.k. ni mazingira mabovu. Mara nyingi wanafanya hayo yote kwenye maeneo ambayo hawatakiwi. Na ndiyo maana kama mnakumbuka katikati ya korona na mvua nyingi, sometimes in June 2020 kuna wakazi wa maeneo fulani walibomolewa nyumba zao bila kujali kama kuna Covid19 au hatari yoyote inayoweza kuwaathiri watu hao.

Lkn pia kuna sababu nyingi sana ambazo tunaweza kuzitaja hapa kama rushwa iliyokithiri, ukabila, upendeleo n.k.

Kwa mengi zaidi endelea hapa chini 👇🏽👇🏽

======

Kenya among countries with majority of people in extreme poverty: WB - Citizentv.co.​


Kenya is among eight out of the 10 Sub-Saharan countries with the highest number of people living in extreme poverty.

According to the World Bank, the other countries include Nigeria, DRC, Ethiopia, Tanzania, Madagascar, Mozambique and Uganda.
“Today, the largest number of extremely poor people are concentrated in Sub-Saharan Africa,” the WB report reads.

The most pernicious form of poverty recognised under the Sustainable Development Goals (SDGs) is extreme poverty.
This is defined as living on less than $1.90 (Ksh.211.65) a day and is applied regardless of where a person lives.

The Bank stated that the economic effects of COVID-19 may have pushed more than 100 million more people around the world into extreme poverty—the first significant increase in this measure in decades.

Eradicating extreme poverty by 2030 is the focus of SDG.
The World Bank notes that in 2015, when the SDGs were adopted, that target appeared ambitious but within reach.

“In fact, the remarkable reduction of extreme poverty in the last few decades is one of the success stories of global development,” the Bank says adding that if that trend had continued beyond 2017, the SDG target would be met six years early.

However, projections suggest this outcome will not be achieved.

Even under reasonably optimistic scenarios developed before the COVID-19 pandemic, the World Bank avers that 6.1 percent of the world’s people would likely have still been living in extreme poverty by 2030.

At the beginning of the 1990s, countries in Europe and North America, had almost no extreme poverty, while a handful of countries in Sub-Saharan Africa, East Asia, and South Asia had extreme poverty rates over 70 percent.

Two very populous and very poor countries—China and India—accounted for 60 percent of extremely poor people.

The World Bank report states that China reduced its extreme poverty rate from 57 percent in 1993 to under 1 percent in the most recent household survey year.

India’s achievement was reportedly not as dramatic, but still substantial.

It halved its extreme poverty rate between 1993 and 2011 and its 2017 rate is estimated to be just above the world average of 9.2 percent.

“India will continue to be an important contributor to reducing global extreme poverty,” the Bank says.

Extreme poverty rate is said to have declined in Sub-Saharan Africa too, from about 60 percent in 1993 to about 40 percent in 2017.

But because of rapid population growth, the Bank notes that the number of people living in extreme poverty rose from 335 million to 431 million.

Since 2011, South Asia has not been the global center of extreme poverty.
Umasikini wa kenya sio lazima usubiri report ya world Bank juzijuzi UNICEF wameamua kulisha watoto karibia 200000 wanaoishi mazingira magumu
 
Poverty in a country is measured by the total number of people considered poor. If I have two poor people in my house and you have 8 of them in your house who is poorer? Kenyans might be poor and that's a fact, but Tanzania has more poor people and that's another fact. No amount of sugarcoating and use of flowery words can change this fact. If you think this is a lie, ask World Bank
View attachment 1657661

Bring this tutorial to Jubilee choir singers.
 
Tanzania ingekuwa na free media wangeweza kuandika hiyo habari. Lakini kwa sababu uhuru wa habari hakuna inabidi tuichungulie hii habari kutokea media za Kenya. Halafu kama kawaida tunajisifu[emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
tatizo unatafuta habari zinazokufurahisha,huzipati.unaishia kukasirika na kutafuta namna ya kujifariji.

umasikini hauwezi kutengenezewa habari ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari saa mbili usiku.umekaa unategemea usikie ITV,star tv au clouda tena ukutane na gazeti limeandika hii habari habari ya umasikini wa $1 kwa siku!!!!ambayo ni maamuzi ya watu kuweka hivyo viwango!!!!

haya leo wakiamua kuweka $5 kwa siku ni masikini,ndio watu wataanza kufa njaa tz au watashindwa kupata mahitaji muhimu!!!

tumieni akili jamani sio jazba na misongo ya mawazo.
 
tatizo unatafuta habari zinazokufurahisha,huzipati.unaishia kukasirika na kutafuta namna ya kujifariji.

umasikini hauwezi kutengenezewa habari ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari saa mbili usiku.umekaa unategemea usikie ITV,star tv au clouda tena ukutane na gazeti limeandika hii habari habari ya umasikini wa $1 kwa siku!!!!ambayo ni maamuzi ya watu kuweka hivyo viwango!!!!

haya leo wakiamua kuweka $5 kwa siku ni masikini,ndio watu wataanza kufa njaa tz au watashindwa kupata mahitaji muhimu!!!

tumieni akili jamani sio jazba na misongo ya mawazo.
Off point.
 
Sikiliza bwana mdogo, Hamna mtu anayejisifu.
Mshangao wa wengi, is how the country with biggest GDP in the bloc and among the ten biggest GDP in Afrika, is featuring in the list of poverty stricken countries.
Le me copy you my previous post for more clarification.
That's why we are number 8 while you are 4.
 
A big mouthed mido inkamu economik is now puzzled to see with all efforts of data doctoring, nothing being changed on the ground. Everything is like it was ten years back. I think they will now realize that, the paper based economy has nothing to do with the economic development and well being of the people.
Hivi huoni Tanzania pia IPO miongoni mwa hizo nchi?

Anzisha uzi wa Tanzania, but meanwhile, the story is Kenya the mido inkamu ekonomi with the largest economy in the bloc and among the top three in sub saharan list.
 
Kwa hiyio wakenya hii ripoti mnaipinga au!???
Mbona hamueleweki

Jibu watakalokupa ni kwamba. Hata nyie mpo kwenye list.
Sasa unashangaa na kujiuliza UMASIKINI wa Kenya, una uhusiano gani na Tanzania kuwepo kwenye orodha? Nashindwa kushangaa kabisa.

CC: NairobiWalker
 
A big mouthed mido inkamu economik is now puzzled to see with all efforts of data doctoring, nothing being changed on the ground. Everything is like it was ten years back. I think they will now realize that, the paper based economy has nothing to do with the economic development and well being of the people.


Anzisha uzi wa Tanzania, but meanwhile, the story is Kenya the mido inkamu ekonomi with the largest economy in the bloc and among the top three in sub saharan list.
Mpo top5 jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania ingekuwa na free media wangeweza kuandika hiyo habari. Lakini kwa sababu uhuru wa habari hakuna inabidi tuichungulie hii habari kutokea media za Kenya. Halafu kama kawaida tunajisifu[emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kabisa, hii habari wenyewe wameikuta citizen hku media za tanzania zikijifanya nkm hawajaona kitu
 
Mbna ukiambiwa hvo unachemka jomba[emoji1787][emoji1787]

Siwezi kuchemka wakati ni ukweli usiopingika ya kwamba Kenya is featured in the list of highly indebted and poverty stricken countries. That is the fact, pia mimi ni mjumbe tu. Kama hutaki you can either go to hug the transformer or chew and swallow the razor blade.
 
Siwezi kuchemka wakati ni ukweli usiopingika ya kwamba Kenya is featured in the list of highly indebted and poverty stricken country. That is the fact, pia mimi ni mjumbe tu. Kama hutaki you can either go to hug the transformer or chew and swallow the razor blade.
Tanznia iko top5[emoji1787][emoji1787]
Huo ndio ukwel sasa sijui povu la nn
 
Back
Top Bottom