Mwanahisa
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,382
- 513
Hivi majuzi taarifa ya Idadi ya watu Tanzania imetolewa na Mh. Rais, idadi hii kwa ukamilifu inasema nchi ina watu milioni 44.9 hii ni makadirio ya watu milioni 45.
Nchi ina hecta milioni 44 za aridhi inayofaa kwa kilimo, ila mpaka sasa ni asilimia 23% tu ndio imetumika yaani hecta 10.12 tu.
Hecta milioni 29 zinafaa kwa kilimo cha umwagiliaji ila ni asilimia 1% tu ndo imetumika.
Ng'ombe milioni 19, idadi inayotupa nafasi ya tatu kwa bara la Afrika.
Mbuzi na Kondoo milioni 17,
Mito na Maziwa yenye ukubwa wa kilomita za mraba 62,000.
Ukanda wa pwani ya bahari kilomita za mraba 1,424.
Ukanda maalum wa kiuchumi baharini (Exclusive Economic Zones) EEZ kilomita za mraba 223,000.
hapa sijaweka yaliyomo chini ya aridhi hii, gesi madini na mengineyo. Kutuita watu wa Tanzania maskini lazima uainishe ni umasikini wa mali au FIKRA?
Chanzo cha data hizi; tovuti ya Serikali.