K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Jul 28, 2025 #1 Wananchi tumekubali siasa kuwa biashara ndiyo maana kila mtu anakimbilia kwenye chaguzi. Bila kuvunja hii biashara na kufanya siasa kuwa witu hatutaweza kutoboa kama nchi Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa
Wananchi tumekubali siasa kuwa biashara ndiyo maana kila mtu anakimbilia kwenye chaguzi. Bila kuvunja hii biashara na kufanya siasa kuwa witu hatutaweza kutoboa kama nchi Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,756 Reaction score 11,435 Jul 28, 2025 #2 Na ishashika Kasi ,cjui ss itakuwajee🤔
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Jul 28, 2025 #3 Siasa za majitaka zinarudisha nyuma maendeleo ya taifa letu
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jul 28, 2025 #4 Chukueni hAtua kali
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 Jul 28, 2025 #5 Siasa ni biashara duniani kote. Dawa ni katiba nzuri ya kuwajibishana.