Umaskini mbaya sana, umaskini umefanya watu na Taasisi nyingi kama Simba kufanya maamuzi ya ajabu yanayowagharimu leo


Nimekuuliza ni lini umesikia mashabiki wa Simba wakijuta au kujilaumu kumpa hisa mwekezaji Mo Dewji

Wanachama wa simba hadi muda huu ninaoandika wana imani na Mo na hakuna kitu utawaambia kuhusu Mo kuondoka Simba
Wewe unakujaje na mifano ya kina Harmonize na WCB sijui Feisal na Yanga hivi huoni kuwa wewe ndio unalazimisha kuonekane kuna shida wanachama hawamtaki Mo na sio kweli unajua

Nadhani somo la ufahamu lilikupitia pembeni mleta mada maana hata reasoning zako ni za hovyo na huwezi kutoa mifano inayorelate mada yako mwenyewe uliyoianzisha.
 
SIMBA NA YANGA zote zinatumika kisiasa ni suala la muda tu huko yanga na moja kati ya maagizo viongozi hawa waliyopewa ni kwamba vilabu hivyo visiwaze wala kuweza kujenga uwanja wao kwasababu uwanja wa taifa utakosa mapato kwa hyo hatuwezi toboa kwasababu tunachanganya mpira na siasa.
 
Umeeleweka haswaaa!!!
 
Swadaktaaaa!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uhakika kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…