Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huu ndo ukweli hata kama unadhalilisha.Unataka kusema umasikini ndiyo uliosababisha Mwekezaji kupewa timu haraka haraka hata kabla ya mchakato wote kukamilika, au!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndo ukweli hata kama unadhalilisha.Unataka kusema umasikini ndiyo uliosababisha Mwekezaji kupewa timu haraka haraka hata kabla ya mchakato wote kukamilika, au!!
Naaam pigilia msumari wa Moto.Huu ndo ukweli hata kama unadhalilisha.
Kuna mda nilikua najiuliza kwanini kwa Mitihan ya shule za Msingi na sekondari hua kuna swali la Ufahamu ingali mtu hadi anaingia kwa mtihani sio Chizi anajua anaenda kufanya nini?
Saiv ndio nimepata Jibu kwanini lile swali hua lipo.
yani unasoma soma tu wewe unataka kila kitu kiwepo hapa unataka uone Sijui Nini ili ujue mambo sio!
Umeeleweka haswaaa!!!Mbona unaenda nje ya mada. Umetolea mifano ya watu ulioita masikini kina Feisal, Samatta, Harmonize na Simba. Kuna ambaye alilazimishwa asaini mkataba? Nimejaribu kukuelewesha kuwa nguvu ya ushawishi na position uliyonayo wakati husika na zaidi kile unachoona unaweza kukipata mbele kwa mkataba huo huo ndiyo inaamua kama una uwezo wa kubadili au kulazimisha vifungu fulani, haimaanishi kuwa kuna mtu amelazimishwa kusaini.
Hata Diamond ambaye wengi mnamchukulia kioo cha mafanikio kuna watu wanaweza kumfuata kibiashara, akakosa nguvu ya ushawishi kulazimisha vifungu fulani kutokana na uzito wa watu hao na akasaini kutokana na kile anachoona anaweza kwenda kukipata hata bila ya vifungu hivyo ambavyo angetamani viwepo.
Swadaktaaaa!!!!Nadhani tunashindwa kuelewana tu. Ukiangalia suala hili kwa jinsi dunia inavyofanya kazi utaelewa zaidi. Usimlaumu mtu kwa kusaini mkataba wowote maana kwa wakati anasain mkataba huo ulikuwa unamridhisha, usiite ni umaskini, njaa au ujinga. Ndiyo maana duniani kote baada ya muda wa mkataba kuisha watu wanarudi mezani kuboresha kwa sababu pande zote zinajua thamani ya kile kilichopo mezani haiwezi kuwa ile ile, muhimu ni kutimiza wajibu wako na heshimu mkataba hadi utakapoisha.
Tatizo la Waswahili hatutimizi wajibu wetu kwenye mikataba halafu tukianza kudhani au kuona thamani yetu ni kubwa zaidi ya ile tuliyokuwa tunadhania mwanzo, tunaona upande wa pili ni wahuni tunaanza kuleta uhuni katikati ya mkataba. Maliza mkataba wako kwa heshima halafu rudi mezani kuomba maboresho ya mkataba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uhakika kabisaaaMimi nadhani mleta mada huna hoja kuhusu Simba na Mo hao uliowataja wote hapo juu walipambania kuvunja mkataba na kujitoa baada ya kutambua thamani yao baada ya muda fulani.
Ni lini uliona wanasimba wakimkataa Mo au kutaka kujitenga na Mo
Mo mpaka sasa hana mkataba wowote na simba bado simba ipo kwenye mchakato wa mabadiliko, ni sisi mashabiki ndio tunamtaka Mo na hatujawahi kujutia uwepo wa Mo hata kama ikiwa ni kwa kuondoka viongozi wengine wote tupo tayari na ndio maana kama ulimsikiliza mwenyekiti wa simba leo utakuwa umemuelewa maana hata yeye alihitaji Mo arudi klabuni
Kuhusu hizo 20Bil hakuna shabiki wa Simba anayewaza kupata hela klabuni na ndio maana utaona kinachowachukiza wanasimba zaidi ni matokeo ya timu yao na wala sio suals la Bil 20 imewekwa wapi. Hiyo hela hata ingekuwa ni Bil 100 imewekwa na hali ya timu ikawa hivi bado kusingekalika shabiki yake ni matokeo tu hela hana faida nayo.