umaskini mmbaya jamani

umaskini mmbaya jamani

Utamlipa nini na huo umasikini wako? Halafu masikini wengi tu wameoa wewe una tatizo unataka viwango usivyoviweza ishi kiuhalisia wanawake wapo wa kila aina
 
Najaribu kukuelewa nashindwa, mwanamke kama kweli anakupenda haangalii una pesa au hauna atakupenda kwa jinsi ulivyo na kwa moyo wake wote.
Hawa ndio wale wanahangaika na kina sepetu alafu wanaishia kulaumu kila mwanamke. Kuna jamaa kasema hapo "fall for your type" hapo ndio penye shida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utamlipa nini na huo umasikini wako? Halafu masikini wengi tu wameoa wewe una tatizo unataka viwango usivyoviweza ishi kiuhalisia wanawake wapo wa kila aina

Ww unataka kulipwa?
 
Back
Top Bottom