Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah Bonge la Comment na ukweli bila chengaMkuu umasikini hauwezi kukunyima mke..ila utakunyima mademu ..
Kam ni mke unamtafuta utampata kwa hali yako iyo iyo ya umasikini.
Lakin kama ni mademu utawakosa tu..maana hela huna ya kuwahonga...
Jaribu tu kupambana na hali yako mkuu. Utatoboa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wale wanahangaika na kina sepetu alafu wanaishia kulaumu kila mwanamke. Kuna jamaa kasema hapo "fall for your type" hapo ndio penye shida.Najaribu kukuelewa nashindwa, mwanamke kama kweli anakupenda haangalii una pesa au hauna atakupenda kwa jinsi ulivyo na kwa moyo wake wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio wale wanahangaika na kina sepetu alafu wanaishia kulaumu kila mwanamke. Kuna jamaa kasema hapo "fall for your type" hapo ndio penye shida.
Id za kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Utamlipa nini na huo umasikini wako? Halafu masikini wengi tu wameoa wewe una tatizo unataka viwango usivyoviweza ishi kiuhalisia wanawake wapo wa kila aina
Mtoa mada ndo anataka kumlipa. Watu wanaoana hawalipaniWw unataka kulipwa?
Mtoa mada ndo anataka kumlipa. Watu wanaoana hawalipani
NdioUmeolewa?!
Ndio