Umaskini ndio mtaji mkubwa ccm kuwafanya kuwepo madarakani

Umaskini ndio mtaji mkubwa ccm kuwafanya kuwepo madarakani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna mambo unaona yakiondolewa ccm wanaweza kukosa madaraka.

Mfano swala la bima za afya zilitakiwa kuwa bure hivi kuna mtu anashindwa kulipa bima kwa mwezi shilingi 4000.
Tupo wangapi tanzania?.
Kuondoa kodi ambazo hakuna faida yoyote zaidi ya wao kujinufaikia tu mfano. Kodi za bandarini yani kuagiza gari bado serikali inaona ni hanasa wakati hiyo gari zingekuja mpaka za kubebea wagonjwa nyingi na za mazao pia.

Ubinafsi wa fursa.
Serikali ya ccm bado inaubinafsi wa fursa wenyewe sio wageni maendeleo yanaletwa kwa kutegemea siasa ya ccm. Vitu vilivotakiwa kufanywa miaka 30 vinafanywa leo.

Ccm kuwa mali ya familia au koo
 
Back
Top Bottom