RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Kwa mfano hapa kwetu!great thinking..arm chair thinking...bahati mbaya wengi hawataelewa UKWELI ulio ongea.
Sisi kama taifa tuliamua yafuatayo
1.kazi inayolipa mapesa mengi iwe siasa yaani ubunge na uwaziri,urais,umakam na mengineyo!ukipiga mahesabu hao wanasiasa hawafiki hata million Tano kwenye population ya Tanzania!lakini ndio watafunaji wa Kodi za watu zaidi ya million 35 ya wanolipa kodi!
2.matajiri au watakatishaji fedha za wanasiasa plus deal chafu na safi na wakwepa Kodi wawe raia wenye asili ya Asia yaani waarabu,wahindi na sasa naona wasomali nao wameanza kuingia,hawa wanalindwa kama nini coz ndio wafadhili wa shughuli za kisiasa na wasilipe Kodi ipasavyo kama takrima pia watakatishe fedha za wanasiasa kupitia makampuni uchwara!!
3.wazawa wabaki wachuuzi wa Hali ya chini,na hao wamechorewa mstari wasiuvuke wakivuka TRA ni kama spinning machine ya kuwavuruga na kuwafanya wawe maskini au kula kulala!!
Jichanganye uonekane unaenda juu kuliko namba mbili unaenda na maji kabisa!
4.watumishi wa umma,hawa ni watumwa wa wanasiasa kazi yao ni kukusanya data ili wanasiasa wapate cha kuongea!!kipati chao lazima kitoshe mahitaji madogo madogo TU kusukuma siku,mradi ziende!!
Kifupi ukitaka unafuu wa maisha lazima ujifunze mbinu za kukwepa kulipa kodi!!