Umaskini Tanzania, wengi hawajahi kulala peke yao kitandani

Umaskini Tanzania, wengi hawajahi kulala peke yao kitandani

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hili swala ingawaje linaweza kuonekana halina maana lkn nimelifikiria sana, wengi wetu Tanzania tangia tuzaliwe hadi tunakuwa watu wazima hatujawahi kulalia kitanda peke yetu bila ya kushare na mdogo/kaka, ndugu au hata jamii.

Kuna watu mara ya kwanza analalia kitanda peke yake ukubwani tena guest house au hoteli siku akisafiri.
 
kikubwa msipakuane tu ndo life la kibongo kushare kitanda ila sehemu za bardidi hatar
 
Ni nini labda kama siyo ?

Ni dalili ya umaskini. Mtu ambae hajalala peke yake mpaka ukubwani Maana yake hajawai kuwa na chumba chake nyumbani alipokulia. Hapo ni nyumba ndogo ama anatokea familia kubwa ama extended family
 
Daaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijawahi kulifikiria hili
 
Mimi hadi nakuwa nilikuwa naamini nyumba lazima iwe na vyumba vitatu, yaani cha wazazi, cha wanawake na cha wanaume. Tulikuwa hata tukitembelewa na uncle tutalala naye. Tatizo sio umaskini ni tu bali ni mifumo ya kimaisha ya kizamani, tulikuwa tunaishi kiukoo, kwa maisha ya sasa mtu anaweza kumiliki nyumba ya vyumba vitatu na kila mtoto akalala chumba chake.
 
Binafsi nimeanza kulala pekee yangu toka nikiwa na miaka mitano, mpaka sasa bado na lala mwenyewe.
Lakini kwetu sio matajiri
 
Huo sio umasikini ni ujamaa,kuimalisha undugu
 
Mkuu umeongea kweli sana asee. Na kikubwa sana zaidi ni kuwa pamoja na kuwa wengi hawalalii kitanda wenyewe ni kuwa wengi wanalala store (stoo) au karakana maana hapo ndani kuna kila aina ya makorokoro.
 
Kulala peke yako baada ya kukunwa ni maamuzi.
 
Chanzo ni ukosefu wa uzazi wa mpango pia
#Overpopulation
 
Back
Top Bottom