Mimi hadi nakuwa nilikuwa naamini nyumba lazima iwe na vyumba vitatu, yaani cha wazazi, cha wanawake na cha wanaume. Tulikuwa hata tukitembelewa na uncle tutalala naye. Tatizo sio umaskini ni tu bali ni mifumo ya kimaisha ya kizamani, tulikuwa tunaishi kiukoo, kwa maisha ya sasa mtu anaweza kumiliki nyumba ya vyumba vitatu na kila mtoto akalala chumba chake.