Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Siasa na michezo wapi na wapiCCM wametufanya sana. Tu wapumbavu na malofa. Hizo pesa za kuingia uwanja wa Taifa kuangalia mpira tutapata wapi wakati hata mlo mmoja kwa siku ni shida!
Hao Tff wajinga sana wao wakiona old trafford na emirates zinajaza wanafikiri na bongo ni hivyo hivyo kumbe hawajui UK kuna pesa za mabenefit kibao watu wanapewa tu bure.. viongozi wa bongo ni hasara na haswa hawa wa ccm ni vichwa matope kabisa!!
CCM mbaya sana aisee. Sasa Magufuli hata uwanja wa Taifa hajawahi kutia mguu hali ndiyo itakuwa mbaya zaidi. Bora tumpige chini tu hamna namna.
Siasa na michezo wapi na wapi