Umaskini tumeshindwa kujaza uwanja wa taifa kisa ni CCM au kichwa cha mwendawazimu?

Umaskini tumeshindwa kujaza uwanja wa taifa kisa ni CCM au kichwa cha mwendawazimu?

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Tamaa ya kuweka kiingilio kikubwa hali ikijulikana ni nchi ya watu maskini pia tukiwa ni kichwa cha mwenda wazi hawa TFF wangeweka kiingilio buku moja tu ili tuendelee kuipa nguvu timu yetu wakati huu wa mpito.

Mabadilo haya ya siasa yaikumbe na TFF pia.
 
Inahitaji ubunifu na uzalendo kugundua hilo. ..kwa tff wao wanafanya biashara. Hata ingekuwa walau 3,000/- na 5,000 .
 
Hao Tff wajinga sana wao wakiona old trafford na emirates zinajaza wanafikiri na bongo ni hivyo hivyo kumbe hawajui UK kuna pesa za mabenefit kibao watu wanapewa tu bure.. viongozi wa bongo ni hasara na haswa hawa wa ccm ni vichwa matope kabisa!!
 
Acha masihara wewe.

Mchezo wa mpira hamasa yake inatokana na performance ya timu. Kama timu inafanya vizuri hata kukiwa na kiingilio kikubwa uwanja unajaa.

Iliwahi kufika timu ya Brazil nakumbuka kiingilio cha chini kilikuwa kama siyo 20,000 basi 30,000 lakini uwanja ulijaa
 
CCM wametufanya sana. Tu wapumbavu na malofa. Hizo pesa za kuingia uwanja wa Taifa kuangalia mpira tutapata wapi wakati hata mlo mmoja kwa siku ni shida!
 
CCM wametufanya sana. Tu wapumbavu na malofa. Hizo pesa za kuingia uwanja wa Taifa kuangalia mpira tutapata wapi wakati hata mlo mmoja kwa siku ni shida!
Siasa na michezo wapi na wapi
 
Hao Tff wajinga sana wao wakiona old trafford na emirates zinajaza wanafikiri na bongo ni hivyo hivyo kumbe hawajui UK kuna pesa za mabenefit kibao watu wanapewa tu bure.. viongozi wa bongo ni hasara na haswa hawa wa ccm ni vichwa matope kabisa!!

Usiseme kitu ambacho ukijui unategemea benefit itakutosha ww na familia yako ukiwa UK. Mpaka upate ya kulipia mpira, chezea UK
 
CCM mbaya sana aisee. Sasa Magufuli hata uwanja wa Taifa hajawahi kutia mguu hali ndiyo itakuwa mbaya zaidi. Bora tumpige chini tu hamna namna.
 
Watu walewale,Chama kile kile usitegemee jipya.Si MAGUFULI juzi aliahidi USHINDI ni lazima.Watanzania watu hao na chama hicho hicho usitegemee jipya.
 
Mi viongozi ya tff Ina tamaa tu... Eti wanashusha kiingilio cha elfu kumi badala ya kushusha kile cha elfu saba kiwe hata elfu nne watu wajae timu ipate amsha amsha tushinde wao wanaangalia matumbo Yao. Mwisho wa siku wamekula hasara. Sidhani hata kama watapata hata milioni thelasini.

Mbona tff ya tenga ilikuwa iko powa sana huyu wa sasahiv sijui anatumia nini kufikiri?
 
Kila siku Timu inapata matokeo mabovu Watu wamechoka bhana!!
Serikali inachangia pia kudumaza Maendeleo ya Soka ..Hakuna uwekezaji wa kutosha Chini ya Wizara ya michezo....
Kila mwaka wanapewa bajeti Kiduchuu unadhani tatizo ni nimi hapo??
Tff haina Viongozi wanaotaka maendeleo ya Soka wengi wapo Kimaslahi binafsi!!
Mara ngapi tumejaza uwanja na.Bado.timu inazingua??
Tatizo ni Serikali iliopo Madarakani!!!
Dawa yao ni Oct 25!!
 
CCM mbaya sana aisee. Sasa Magufuli hata uwanja wa Taifa hajawahi kutia mguu hali ndiyo itakuwa mbaya zaidi. Bora tumpige chini tu hamna namna.

Lowasa amewahi kwenda kuangalia mpira?
 
Matokeo mabovu na uongozi mbovu wa Jamal Malinzi umefanya wananchi wamepoteza matumaini na Taifa Stars
 
Back
Top Bottom