Umaskini uliokithiri Kenya, Tazama Watoto wasomea chini ya Mti, funza waathiri wanafunzi kwa Walimu.

Au madarasa ya shule ya msingi Songambele, Kyera kule Kagera. Elimu nchini kwenu Tz ni majanga, yaani ni sekta ambayo imetelekezwa kabisa. Ila wewe hapo unadhani ukiangazia % kidogo ya failures za Kenya, sanasana kwenye jamii za kuhama hama za wafugaji, ndio itaipaisha Tz juu. Nakushauri upitie bajeti ya Kenya uone mgao wa elimu alafu ulinganishe na nchi yako ya 'asali na maziwa'.
 
Duuuh kyera Leo imehamia kigoma , maajabu ya musa haya
 
Ingependeza zaidi kama tungeanza kwa kujadili hili zizi la ng'ombe ambalo wanafunzi wanatumia kama darasa kule Maili Tisa, Mtwara.
Kwani Tanzania si nchi maskini tu yenye uchumi mbovu? Na Kenya si ndio kinara wa East Africa with highest GDP? middle income country hio ama sio?
 
These dogs from Danganyika wanakera tu,They are in a worse off situation na wanaangaika huku kama warthogs tu
 
These dogs from Danganyika wanakera tu,They are in a worse off situation na wanaangaika huku kama warthogs tu

Kenya is 5th Largest Economy In Africa according to Kenyans here,
Yaani ni Nigeria, SA, Egypt, Morocco then Kenya,
Now see those Nations and compare yourselves to them,
Vinyangarika nyie,
A reason we are surprised by the Kenya’s middle income status
 
Coming from an African hunting dog like you,,,Yes,You can imagine how danganyika is then,the poorest country in the world
 
What is so wrong with that?
Hivi kenya ni middle income ya aina gani eti?
Kenya ni uchumi wa kati babuu. Hata ukilia machozi hiyo haitabadilisha ukweli kuwa sisi ni Middle income nyie Ldc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…