Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hawezi kuja huku. Anajificha maana mashule yenu tambara mbovu yameanikwa wazi na yeye hapendi aibu ndogo ndogo. Anapenda kujisifia tu.joto la jiwe uje huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kuja huku. Anajificha maana mashule yenu tambara mbovu yameanikwa wazi na yeye hapendi aibu ndogo ndogo. Anapenda kujisifia tu.joto la jiwe uje huku
6th. Fuata thread yangu vizuri. Usiongeze chumvi. Nenda kwa thread yangu ukasome hio list vizuri. Sisi ni wa sita.Kenya is 5th Largest Economy In Africa according to Kenyans here,
Yaani ni Nigeria, SA, Egypt, Morocco then Kenya,
Now see those Nations and compare yourselves to them,
Vinyangarika nyie,
A reason we are surprised by the Kenya’s middle income status
Huoni aibu kwa niaba ya huyo mwalimu mtz? Afadhali Kenya ambapo wanapata donge la maana kila mwisho wa mwezi. Hapo dona kantri wanaishi kama mashetani, hata nyongeza ya mishahara kila mwaka ni ndoto.What is so wrong with that?
Hivi kenya ni middle income ya aina gani eti?
Haha! 😀 Hapo ni Kagera, ndani ya nchi ya 'asali na maziwa', kwenye enzi hizi kuna njia nyingi sana za kuthibitisha uhalisia wa picha. Ila najua vitu rahisi kama hivyo kwako ni nyuklia science. Pole jombaa.Unaokota picha za turkana na kuleta hapa,
Huoni aibu kwa niaba ya huyo mwalimu mtz? Afadhali Kenya ambapo wanapata donge la maana kila mwisho wa mwezi. Hapo dona kantri wanaishi kama mashetani, hata nyongeza ya mishahara kila mwaka ni ndoto.
Haha! 😀 Hapo ni Kagera, ndani ya nchi ya 'asali na maziwa', kwenye enzi hizi kuna njia nyingi sana za kuthibitisha uhalisia wa picha. Ila najua vitu rahisi kama hivyo kwako ni nyuklia science. Pole jombaa.
Kenya is 5th Largest Economy In Africa according to Kenyans here,
Yaani ni Nigeria, SA, Egypt, Morocco then Kenya,
Now see those Nations and compare yourselves to them,
Vinyangarika nyie,
A reason we are surprised by the Kenya’s middle income status
Uchumi wa Katikati[emoji2][emoji2][emoji2]
View attachment 1241080
Mashida ni mingi Sana kwenyu,cha kushagangaza kila saa mnashughulika na Kenya lakini tunajua mko kazi kueneza propaganda za ccm.What is so wrong with that?
Hivi kenya ni middle income ya aina gani eti?
In any case these are ccm bootlickers,when you meet them spreading propaganda don't spare them.They are really giving a bad name to true TanzaniansMashida ni mingi Sana kwenyu,cha kushagangaza kila saa mnashughulika na Kenya lakini tunajua mko kazi kueneza propaganda za ccm.