Umaskini uliokithiri Kenya, Tazama Watoto wasomea chini ya Mti, funza waathiri wanafunzi kwa Walimu.

Kenya is 5th Largest Economy In Africa according to Kenyans here,
Yaani ni Nigeria, SA, Egypt, Morocco then Kenya,
Now see those Nations and compare yourselves to them,
Vinyangarika nyie,
A reason we are surprised by the Kenya’s middle income status
6th. Fuata thread yangu vizuri. Usiongeze chumvi. Nenda kwa thread yangu ukasome hio list vizuri. Sisi ni wa sita.
 
What is so wrong with that?
Hivi kenya ni middle income ya aina gani eti?
Huoni aibu kwa niaba ya huyo mwalimu mtz? Afadhali Kenya ambapo wanapata donge la maana kila mwisho wa mwezi. Hapo dona kantri wanaishi kama mashetani, hata nyongeza ya mishahara kila mwaka ni ndoto.
Unaokota picha za turkana na kuleta hapa,
Haha! 😀 Hapo ni Kagera, ndani ya nchi ya 'asali na maziwa', kwenye enzi hizi kuna njia nyingi sana za kuthibitisha uhalisia wa picha. Ila najua vitu rahisi kama hivyo kwako ni nyuklia science. Pole jombaa.
 
Kenya ni uchumi wa kati babuu. Hata ukilia machozi hiyo haitabadilisha ukweli kuwa sisi ni Middle income nyie Ldc.
Uchumi wa kati [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

IMG_8656.JPG
 
Huoni aibu kwa niaba ya huyo mwalimu mtz? Afadhali Kenya ambapo wanapata donge la maana kila mwisho wa mwezi. Hapo dona kantri wanaishi kama mashetani, hata nyongeza ya mishahara kila mwaka ni ndoto.
Haha! 😀 Hapo ni Kagera, ndani ya nchi ya 'asali na maziwa', kwenye enzi hizi kuna njia nyingi sana za kuthibitisha uhalisia wa picha. Ila najua vitu rahisi kama hivyo kwako ni nyuklia science. Pole jombaa.

Hilo donge linaenda wapi wakati maisha yenu ndio haya
 
Heheeee!!kawambieni mabeberu watutoe katika hyo status
Kenya is 5th Largest Economy In Africa according to Kenyans here,
Yaani ni Nigeria, SA, Egypt, Morocco then Kenya,
Now see those Nations and compare yourselves to them,
Vinyangarika nyie,
A reason we are surprised by the Kenya’s middle income status
 
What is so wrong with that?
Hivi kenya ni middle income ya aina gani eti?
Mashida ni mingi Sana kwenyu,cha kushagangaza kila saa mnashughulika na Kenya lakini tunajua mko kazi kueneza propaganda za ccm.
 
In any case these are ccm bootlickers,when you meet them spreading propaganda don't spare them.They are really giving a bad name to true Tanzanians
 
Mashida ni mingi Sana kwenyu,cha kushagangaza kila saa mnashughulika na Kenya lakini tunajua mko kazi kueneza propaganda za ccm.

Kwamba hata hawa mazombi wa Nairobi ni Propaganda za ccm?
 
Back
Top Bottom