Halafu hakuna sehemu niliyoandika kwamba wanaoenda msikitini wote ni maskini na katika huo mfano wa mtu kwenda kuiba kandambili msikitini Kisha kukamata na kuuliwa na watu wenye hasira Kali,nimetumia kuonyesha ni ajabu Kwa mtu ambaye mwenye fikra timamu asiye na njaa na tamaa kuweza kuwaza na Kisha kuamua kwenda kuiba kandambili msikitini.
Mwisho Kwa kuongezea,umaskini ambao huo wa kutengenezewa/bandia ambao aliusema mtoa mada ni unaanzia au umebase sana kwenye fikra Kisha ndo kwenye sehemu zingine kama ukosefu wa fedha.