Umaskini wetu sisi Watanzania ni wakujitakatia kabisa?

Umaskini wetu sisi Watanzania ni wakujitakatia kabisa?

Kiweli

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
151
Reaction score
130
Mpaka siku umati wa wananchi utakapoamka usiku wa manane ukakusanyika pamoja sehemu moja kudai mabadiliko ya Nchi.

Kupata katiba mpya itakayokuwa na haki ya kupata tume huru ya uchaguzi. Kama madai waliofanya wamasai wa Ngorongoro CCM ikajua sasa kumekucha

 
Umaskini wetu sisi Watanzania ni wakujitakatia
 
Ukiendekeza siasa badala ya kazi ndo utakuwa maskini
Siasa ndio maisha...siasa zikiwa nzuri maisha yanakuwa bora..CCM imewapumbaza sana sisi watanzania..tunaona Aya ndio maisha tunavyotakiwa kuishi..uwoga na ujinga ni kitu baya..
 
Siasa ndio maisha...siasa zikiwa nzuri maisha yanakuwa bora..CCM imewapumbaza sana sisi watanzania..tunaona Aya ndio maisha tunavyotakiwa kuishi..uwoga na ujinga ni kitu baya..

Tunaaminishwa amani...tukubali tapu..kila mradi Tanzania hauna faida kwa Tanzania yani ni shida juu ya shida kuanzia usafiri hadi umeme na hajira ni shida sana. Hakuna nguvu serikali inayofanya kuwapa ajira wananchi wake ajira au maisha bora. Imekuwa ni ngonjera tu. Wanakandamiza haki tuendeleee kuwa wajinga wazidi kututawqlq milele
 
Back
Top Bottom