Siasa ndio maisha...siasa zikiwa nzuri maisha yanakuwa bora..CCM imewapumbaza sana sisi watanzania..tunaona Aya ndio maisha tunavyotakiwa kuishi..uwoga na ujinga ni kitu baya..
Tunaaminishwa amani...tukubali tapu..kila mradi Tanzania hauna faida kwa Tanzania yani ni shida juu ya shida kuanzia usafiri hadi umeme na hajira ni shida sana. Hakuna nguvu serikali inayofanya kuwapa ajira wananchi wake ajira au maisha bora. Imekuwa ni ngonjera tu. Wanakandamiza haki tuendeleee kuwa wajinga wazidi kututawqlq milele