Tangu aanze kuzunguka kutafuta wadhamini Tundu Lissu amekuwa akipokewa na umati mkubwa sana wa watu tena hawajavaa hata mabarakoa.
Vyombo vya habari vya nje mnaofuatilia harakati za Tundu Lissu kusaka Urais wasiishie tu kutaka kumhoji Lissu bali pia watende haki kwa kuutangazia ulimwengu kwamba Tanzania hakuna corona na kuwahimiza raia wa huko kuja kuona maajabu ya Tanzania.
Ila na Tundu Lissu unapomwaga sera zako ongea yote tunaweza kukuelewa ila hili la CORONA usijaribu kumsema JPM kiukweli mimi binafsi sitakuelewa hata kwa asilimia 200% maana kwa namna JPM alivoli handle kwa busara ya hali ya juu na kwa kumtanguliza Mungu anastahili pongezi kubwa.