Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Imekuwa ni mtindo mpya unaoenea kwa kasi duniani baada ya watu kuona ukweli wa wanachopigania wapalestina wakiongozwa na Hamas.Matamasha ya muziki yamekuwa yakianza kwa kampeni ya Palestina huru.
Hivyo ndivyo ilivyotokea hapo juzi nchini Uiengereza wakati umati mkubwa uliokuwa ukitumbuizwa na magwiji wa muziki wa London na Ireland walipoanza na kupeperusha bendera kubwa ya Palestina kama ufunguzi wa tamasha hilo huku wakiimba Free Palestina.
Watayarishaji wa tamasha hilo walioshtushwa na tukio hilo waliiindoa bendera hiyo lakini hata hivyo imebidi waombe radhi kwani ilikuwa ndio takwa la wachezaji walio wengi waliokwenda kujiburudisha viwanjani hapo.