Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa


Kwa hiyo John Mrema kakufuata wewe na kukupa hizi taarifa na wewe umeona uweke hapa JF? Je, nitakuwa namekosea nikisema wewe ndio John Mrema? Je, nitakuwa nimekosea nikisema JF imenunuliwa kihalali na Chadema? Je, nitakuwa nimekosea nikisema kwamba hiyo ndio sababu kubwa michango na thread nyingi huhamishwa kwa maelekezo ya John Mrema?
 
Kwani kutoa taarifa jf limekuwa kosa ?
 
Hiki ndio kimekimbiza wabunge mamluki na wachovu kama akina Lijuakali
 
Nilitamani sana kwenda kumtoa Mh. Luhaga Mpina! Ana bahati sana mambo ya kianzio hayajaniendea vizuri!
 
kwa jinsi alivyochoma nyavu za watu ingekuwa rahisi tu
Yaani naona kama nimekosa bahati aiseee! Ni mwepesi mno, CHADEMA tunatakiwa tupate mtu sahihi tu huku, hakuna cha maana alichokifanya jimboni kwake miaka leo 15 na uwaziri juu!
 
Kwahiyo tunanawa mikono tuu bila karantini?
 
Hiki ndio kimekimbiza wabunge mamluki na wachovu kama akina Lijuakali
Juakali alishaijenga image yake ambayo ameibomoa kwa kukosa utulivu wa akili.
Ila majina yanaumba ataishia kuwa juakali.Hata akisimamishwa na ccm hawezi shinda tena
 
Hulka ya kibinadamu kabisa. Kutia nia ni kuonyesha kuna tumaini fulani. Je, hilo tumaini ni la mtu binafsi, jamii au kikundi ndiyo cha msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…