We kiboko!!! Yaani MTU anaamka asubuhi za usiku zote anazijua halafu anatafuta pa kuzitua hahaahaHa haa hiyo tabia ukiizoea noma
Kkkkkkkkkk you make me laugh out loud, cheers mate.Usiombe ukawashwa na umbea
Ila umbea unaongeza siku ujue[/QUOTE
If Gossip were food, many people would be overweight. Kwa kweli mi naogopa sana gossip ingawa nayasikia mengi
Hapo umenena na hiyo haiathiri kwa kweli, ngoja nisikilize latest hahahaInategemea bana kuna umbea mwingine hauathiri chochote zaidi ya ucheke utanue mapafu
Ule umbea wa msuto na uchochezi ndio mbaya
Duuh!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe umbea unawashae??? Si ajabu kweli kuna mijitu mimbea hadi umbea unawasuta...Usiombe ukawashwa na umbea
Kuna mmoja Yeye alikataa hadi pesa akahiyari apeleke umbea pale alipoambiwa asiposema atalipwa.Usiombe ukawashwa na umbea
He hee wallah umbea mtamu jamani nyie...Kuna mmoja Yeye alikataa hadi pesa akahiyari apeleke umbea pale alipoambiwa asiposema atalipwa.
Uheke mtamu wee
WA NNE akasema jamani nyie wote nimewarikodi video kwenye simu nawarusha YouTube Whatsup na Facebook..
Hahaha haya bhanaInategemea bana kuna umbea mwingine hauathiri chochote zaidi ya ucheke utanue mapafu
Ule umbea wa msuto na uchochezi ndio mbaya