GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe ni msemaji wake?Kama kawaida yake mara nyingi amekuwa ni Mtu mwenye Chuki za waziwazi dhidi ya Simba SC baada ya Kunyimwa Ulaji wa Kuwa Msemaji wake leo hii Mchambuzi Mnafiki na Mtangazaji wa hovyo hovyo kutoka CMG Shaffih Kajuna Dauda amezusha kuwa Mohammed Dewji anajiondoa Simba SC kama Mwekezaji taarifa ambayo Tajiri mwenyewe MO Dewji ameikanusha na amesikitika mno.
Sasa imetosha Uongozi wa Simba Umshtaki Shaffih Dauda ili akome na ajifunze.
Tunaomba utupe source ya Mo kukanusha either kwa video au post yoyoteKama kawaida yake mara nyingi amekuwa ni Mtu mwenye Chuki za waziwazi dhidi ya Simba SC baada ya Kunyimwa Ulaji wa Kuwa Msemaji wake leo hii Mchambuzi Mnafiki na Mtangazaji wa hovyo hovyo kutoka CMG Shaffih Kajuna Dauda amezusha kuwa Mohammed Dewji anajiondoa Simba SC kama Mwekezaji taarifa ambayo Tajiri mwenyewe MO Dewji ameikanusha na amesikitika mno.
Sasa imetosha Uongozi wa Simba Umshtaki Shaffih Dauda ili akome na ajifunze.
fakeNyumba ya jirani kunawaka moto. Badala ya kuuzima mnakazi ya kumtukana ShafiiView attachment 1146556
Hapo anawesema akina Kilomoni[B]Mohammed Dewji MO[/B]Verified account @[B]moodewji[/B]
Watu wenye nia mbaya: Kazi yao sio kujenga, ni kuvunja tu. Kaa nao mbali. Narudia kaa nao mbali sana!
Tweets de Media par Mohammed Dewji MO (@moodewji) | Twitter
Les tout derniers Tweets de média de Mohammed Dewji MO (@moodewji). Pan-African entrepreneur @MeTL_Group || Philanthropist @DewjiFoundation || Investor @SimbaSCTanzania || Former Politician || @WEF #YGL || @Georgetown #Hoya. Africatwitter.com
Acha wafu wazikane,Dauda ni mwanamsimbazi mwenzenu, ila kumbukeni mficha maradhi kifo humuumbua
Watu aina ya Shafii ni Wapiga deal tu kupitia sokaTokea atoswe nafasi ya Usemaji wa Simba SC aliyokuwa akiitaka na hadi leo anaitaka mno tu amekuwa ni Mtu mwenye Chuki zaidi na Simba SC na Kuizushia mambo mengi tu na nadhani kwa sasa Uvumilivu Kwake unaelekea Kufikia Ukingoni na asije akawalaumu Wana Msimbazi kwa Maamuzi yao watakayoamua Kuchukua ambayo yatakuwa ni ya Kisela zaidi.