GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kawaida yake mara nyingi amekuwa ni Mtu mwenye Chuki za waziwazi dhidi ya Simba SC baada ya Kunyimwa Ulaji wa Kuwa Msemaji wake leo hii Mchambuzi Mnafiki na Mtangazaji wa hovyo hovyo kutoka CMG Shaffih Kajuna Dauda amezusha kuwa Mohammed Dewji anajiondoa Simba SC kama Mwekezaji taarifa ambayo Tajiri mwenyewe MO Dewji ameikanusha na amesikitika mno.
Sasa imetosha Uongozi wa Simba Umshtaki Shaffih Dauda ili akome na ajifunze.
Sasa imetosha Uongozi wa Simba Umshtaki Shaffih Dauda ili akome na ajifunze.