Umbea na Kiherehere cha Kutangaza kuwa MO anajiondoa Simba wamtokea puani Mchambuzi Mnafiki Shaffih Dauda wa CMG


Kwahiyo wakitakiwa kutoka Watu wenye Vipato hapo CMG au Tanzania huyo Basha wako Shaffih nae atajitokeza? Na aliyekuambia kuwa na Yeye ni Mmoja wa Wakurugenzi hapo CMG ni nani? Unadhani Watu wote tuliopo humu JF ni Maduduna ( Wapumbavu ) Waandamizi kama Wewe na huyo Basha wako? Ningeshtuka au Kuumia kama huyo Dauda wako pamoja na huo Utajiri wake unaomfagilia nao labda Mwenzetu angekuwa hanyi kama Mimi lakini kama na Yeye anakunya tena yawezekana Mimavi mingi kuliko Mimi basi sijaona bado jipya Kwake wala tofauti yoyote ile ya Mimi na Yeye au na Binadamu wengine.
 
Wewe Mwenzetu uliyeamkia Kwake baada ya kuwa nae Usiku mzima alikupa Kiasi gani?
kwa haya matusi unayoyaporosha ukiongeza bidii kidogo tu utateuliwa msemaji mkuu maana Manara mkataba umeisha
 
Mliopo dar mnatuangusha Sana aisee, hivi shafii hamjui anakaa wapi?? Anaishi wapi?? Maana kama ameamua kuiharibu image ya Simba timu yetu na Sisi tuna wajibu wa kumharibu kivyovyote, kama mmeshindwa Sisi wa mikoani Kesho tuna kikao mtuambiee jamani Sisi tumemshindwa Sisi tutakuja asijelaumu MTU tutamchakaza mpaka achakaee quuumqniner zake.
 
Maneno ya Mo bado yana utata kwani haoneshi kukanusha ama kukubali ila nami badi sielewi inaelekea anajitoa kwa hali na mali kwa simba ila feedback zero hivyo anashindwa kuvumilia.
 
Koma weye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…