Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
๐๐๐๐๐Nyumba ya jirani kunawaka moto. Badala ya kuuzima mnakazi ya kumtukana ShafiiView attachment 1146556
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Nyumba ya jirani kunawaka moto. Badala ya kuuzima mnakazi ya kumtukana ShafiiView attachment 1146556
Nyumba ya jirani kunawaka moto. Badala ya kuuzima mnakazi ya kumtukana ShafiiView attachment 1146556
Nyumba ya jirani kunawaka moto. Badala ya kuuzima mnakazi ya kumtukana ShafiiView attachment 1146556
Well said. Hata mimi naamini hizi habari amapewa na walioko jikoni lakini hawana ujasiri was kusema.hata me nashangaa shaffih ni mjumbe tu hauwawi
JF member hatujawahi kuwa zero brain kiwango hiki. Huyu punguani kashindwa kujipa hata sekunde tu aingie kwenye hiyo account ajiridhisheNyumba ya jirani kunawaka moto. Badala ya kuuzima mnakazi ya kumtukana ShafiiView attachment 1146556
Inawezekana njaa imezidii!๐คฃ๐คฃ๐คฃLengo ni kumfanya Mo aondoke maana wamekosa maslahi binafsi kwenye muundo was sasa.
Hajakanusha popote.amekanusha wapi mkuu ebu tutoe wasiwasi na sisi
Wewe ndio utakuwa wa kwanza ,wengine simba tunajitambua football ni mchezo wa amani ushindwe kumfanyia kilomoni aliye katalia hati ukamfanyie dauda ambaye anatoa maoni yake,nyinyi ni miongoni mwa watu mnasababisha tunatukanwa mbumbumbu ,kutofautiana kwenye football jambo la kawaida hukohuko ndani ya board ya simba kunawatu wanatofautiana kuhusu mwekezaji lakini mambo yanakwenda ,pengine Wewe unayemshutumu dauda hata kadi tu ya simba hauna ,unayempigia kelele ni mwanachama ,pia ni mwana habari na kafanya kazi yake inayomwingizia kipato na anayo maisha kuliko Wewe ,badilika Fanya maendeleo yako kisha furahia ushindi wa team maana Wewe ni mshabiki tu ya uongozi waachie wenyewe,na usiwachochee unawaita masela ambao hata Milo mitatu inawashinda wakapambane na mkurugenzi wa CMG ambaye kipato chake kinawalisha masela wako na familia zao mwaka mzima .Narudia endelea kufurahia sajili makini,kosoa unayo haki,furahia ushindi wa team yetu ,tafuta kipato hata nusu ya dauda
Yule zeruzeru amekuapa bei gani
Yule zeruzeru amekuapa bei gani
kwa haya matusi unayoyaporosha ukiongeza bidii kidogo tu utateuliwa msemaji mkuu maana Manara mkataba umeishaWewe Mwenzetu uliyeamkia Kwake baada ya kuwa nae Usiku mzima alikupa Kiasi gani?
Mliopo dar mnatuangusha Sana aisee, hivi shafii hamjui anakaa wapi?? Anaishi wapi?? Maana kama ameamua kuiharibu image ya Simba timu yetu na Sisi tuna wajibu wa kumharibu kivyovyote, kama mmeshindwa Sisi wa mikoani Kesho tuna kikao mtuambiee jamani Sisi tumemshindwa Sisi tutakuja asijelaumu MTU tutamchakaza mpaka achakaee quuumqniner zake.Tokea atoswe nafasi ya Usemaji wa Simba SC aliyokuwa akiitaka na hadi leo anaitaka mno tu amekuwa ni Mtu mwenye Chuki zaidi na Simba SC na Kuizushia mambo mengi tu na nadhani kwa sasa Uvumilivu Kwake unaelekea Kufikia Ukingoni na asije akawalaumu Wana Msimbazi kwa Maamuzi yao watakayoamua Kuchukua ambayo yatakuwa ni ya Kisela zaidi.
Koma weye.Mliopo dar mnatuangusha Sana aisee, hivi shafii hamjui anakaa wapi?? Anaishi wapi?? Maana kama ameamua kuiharibu image ya Simba timu yetu na Sisi tuna wajibu wa kumharibu kivyovyote, kama mmeshindwa Sisi wa mikoani Kesho tuna kikao mtuambiee jamani Sisi tumemshindwa Sisi tutakuja asijelaumu MTU tutamchakaza mpaka achakaee quuumqniner zake.