Umbea na Kiherehere cha Kutangaza kuwa MO anajiondoa Simba wamtokea puani Mchambuzi Mnafiki Shaffih Dauda wa CMG

Umbea na Kiherehere cha Kutangaza kuwa MO anajiondoa Simba wamtokea puani Mchambuzi Mnafiki Shaffih Dauda wa CMG

Naona thimba hamna amani kabsai! Hiyo ndiyo shida ya kumtegemea mtu mmoja
 
Naona thimba hamna amani kabsai! Hiyo ndiyo shida ya kumtegemea mtu mmoja

Muulizeni huyo Mbea wenu je anataka Mimba ya Mtoto wa Kike au wa Kiume kama Yeye ili Wanasimba hasa Masela wafanye yao?
 
Mo dewji amekanusha wapi?

Duduna kama Wewe huwezi jua kuwa ameshakanusha na wapi wakati kila Kitu kipo wazi. Mnadhani yaliyowatokeeni kwa Gabachori lenu Teja kule Jangwani ndiyo yatatokea na Msimbazi? MO Dewji hang'oki ng'o na tayari Kiungo mahiri kutoka Kenya Francis Kahata amewasili Alasiri ya leo tayari Kusinya ( Kuingia Kandarasi ) ya Miaka miwili na Simba SC ambapo hafla hiyo itafanyika Kesho.
 
Mikia acheni kulialia. .Familia imemkataza MO kutapanya Mali. .na nyie fanyeni "NDOGO KULIKO'..kugeza sio dhambi..
Nani analia lia tupo bize na usajili
Karibu kihata simba
IMG_20190704_180053_084.JPG
 
Tokea atoswe nafasi ya Usemaji wa Simba SC aliyokuwa akiitaka na hadi leo anaitaka mno tu amekuwa ni Mtu mwenye Chuki zaidi na Simba SC na Kuizushia mambo mengi tu na nadhani kwa sasa Uvumilivu Kwake unaelekea Kufikia Ukingoni na asije akawalaumu Wana Msimbazi kwa Maamuzi yao watakayoamua Kuchukua ambayo yatakuwa ni ya Kisela zaidi.
Wewe ndio utakuwa wa kwanza ,wengine simba tunajitambua football ni mchezo wa amani ushindwe kumfanyia kilomoni aliye katalia hati ukamfanyie dauda ambaye anatoa maoni yake,nyinyi ni miongoni mwa watu mnasababisha tunatukanwa mbumbumbu ,kutofautiana kwenye football jambo la kawaida hukohuko ndani ya board ya simba kunawatu wanatofautiana kuhusu mwekezaji lakini mambo yanakwenda ,pengine Wewe unayemshutumu dauda hata kadi tu ya simba hauna ,unayempigia kelele ni mwanachama ,pia ni mwana habari na kafanya kazi yake inayomwingizia kipato na anayo maisha kuliko Wewe ,badilika Fanya maendeleo yako kisha furahia ushindi wa team maana Wewe ni mshabiki tu ya uongozi waachie wenyewe,na usiwachochee unawaita masela ambao hata Milo mitatu inawashinda wakapambane na mkurugenzi wa CMG ambaye kipato chake kinawalisha masela wako na familia zao mwaka mzima .Narudia endelea kufurahia sajili makini,kosoa unayo haki,furahia ushindi wa team yetu ,tafuta kipato hata nusu ya dauda
 
Wewe ndio utakuwa wa kwanza ,wengine simba tunajitambua football ni mchezo wa amani ushindwe kumfanyia kilomoni aliye katalia hati ukamfanyie dauda ambaye anatoa maoni yake,nyinyi ni miongoni mwa watu mnasababisha tunatukanwa mbumbumbu ,kutofautiana kwenye football jambo la kawaida hukohuko ndani ya board ya simba kunawatu wanatofautiana kuhusu mwekezaji lakini mambo yanakwenda ,pengine Wewe unayemshutumu dauda hata kadi tu ya simba hauna ,unayempigia kelele ni mwanachama ,pia ni mwana habari na kafanya kazi yake inayomwingizia kipato na anayo maisha kuliko Wewe ,badilika Fanya maendeleo yako kisha furahia ushindi wa team maana Wewe ni mshabiki tu ya uongozi waachie wenyewe
hongera sana mkuu, umeongea ukweli
 
Duduna kama Wewe huwezi jua kuwa ameshakanusha na wapi wakati kila Kitu kipo wazi. Mnadhani yaliyowatokeeni kwa Gabachori lenu Teja kule Jangwani ndiyo yatatokea na Msimbazi? MO Dewji hang'oki ng'o na tayari Kiungo mahiri kutoka Kenya Francis Kahata amewasili Alasiri ya leo tayari Kusinya ( Kuingia Kandarasi ) ya Miaka miwili na Simba SC ambapo hafla hiyo itafanyika Kesho.
Sawa msemaji wa mo
 
Mikia acheni kulialia. .Familia imemkataza MO kutapanya Mali. .na nyie fanyeni "NDOGO KULIKO'..kugeza sio dhambi..
Atatapanya hadi miaka kumi ijayo bila faida yoyote. Hamna kampuni hapo. Magumashi ya akina Magori na Hanspope. Iweje watu Simba wakawe upande wa mwekezaji?
 
Duduna kama Wewe huwezi jua kuwa ameshakanusha na wapi wakati kila Kitu kipo wazi. Mnadhani yaliyowatokeeni kwa Gabachori lenu Teja kule Jangwani ndiyo yatatokea na Msimbazi? MO Dewji hang'oki ng'o na tayari Kiungo mahiri kutoka Kenya Francis Kahata amewasili Alasiri ya leo tayari Kusinya ( Kuingia Kandarasi ) ya Miaka miwili na Simba SC ambapo hafla hiyo itafanyika Kesho.
[emoji23]unajibu kwa panic mzee, mamb ya moo unaingizia unazi wa simba na yanga....duuh vizur mkuu
Screenshot_20190704-155828.jpeg
 
Yule zeruzeru amekuapa bei gani
Kama kawaida yake mara nyingi amekuwa ni Mtu mwenye Chuki za waziwazi dhidi ya Simba SC baada ya Kunyimwa Ulaji wa Kuwa Msemaji wake leo hii Mchambuzi Mnafiki na Mtangazaji wa hovyo hovyo kutoka CMG Shaffih Kajuna Dauda amezusha kuwa Mohammed Dewji anajiondoa Simba SC kama Mwekezaji taarifa ambayo Tajiri mwenyewe MO Dewji ameikanusha na amesikitika mno.

Sasa imetosha Uongozi wa Simba Umshtaki Shaffih Dauda ili akome na ajifunze.
 
Back
Top Bottom