Umbea wa karne,Le tetemekoz

Umbea wa karne,Le tetemekoz

Huu ndo ukweli ww fatilia story zke na uone km hataweka hata izo videos iyo story itahisia angani hatakuja n nyingine kwan.umesahau kipindi anasema Zari hana mimba cjui kaitoa mara hanatafuta kiki sio sourse nzuri ya ubuyu bora hata soudy
 
Mambo ya wanawake bhana, nasikiaga tu umbea nilikuwa sijakumbana nao. Haki ya nani nimetoka 0%, naombeni mnisamehe kwa kuingia bila hodi ngoja niendelee na safari zangu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bora uwe msomaji tu kama mimi
 
Huu ndo ukweli ww fatilia story zke na uone km hataweka hata izo videos iyo story itahisia angani hatakuja n nyingine kwan.umesahau kipindi anasema Zari hana mimba cjui kaitoa mara hanatafuta kiki sio sourse nzuri ya ubuyu bora hata soudy
Kwel. Milly story zake anaunga unga na soltepu[emoji23] baadae anaishia kuumbuka tu. Awe km shade ya mamtoni mchezo mtu mwenyewe hater n ana wa2 wake hawagusi
 
Kwel. Milly story zake anaunga unga na soltepu[emoji23] baadae anaishia kuumbuka tu. Awe km shade ya mamtoni mchezo mtu mwenyewe hater n ana wa2 wake hawagusi
Level km za shaderoom ya mamtoni bado yule kawashika wale wanaokurupuka ndo wanamuona TMZ wao kumbe hana lolote
 
Sasa sioni haja ya kujadili sababu hao Ni kazi Yao....
 
Instagram kuna mambo sana kuna mtu anajiita @umeme_huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom