madmankache
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 836
- 589
Sidhani kama ame mlenga aunt yako hapo.Yaani huyu bi.mkubwa anaona Mungu kampendelea sana eeehhh!!??
mi kanikwaza maana nna aunt yangu hana uwezo wa kuzaa!!halafu yuko good in evryrthing kashaambiwa yy ni taxa kabisa yaan daah!
MTU anaingilia kazi ya Mungu!!
Kuna muda kweli tunafanyaga utani, but usifanye utani au kujigamba hadi ukamkufuru Mungu.
Hapa nadhan ume mis interpret ujumbe, sidhani kama alilenge ulicho kielewa weweMmh kazi ya Mungu Haiingiliwi. ....
BTW so katika vitu vyote alivyowazidi hao wanaofananishwa naye, kubwa ni kwenda labour mara 4?
hapa lazma anamjibu wema na sio hao.unaowasema lets go to realityNa kwa wale ambao hawajatoa ila hawajajaliwa watoto? Na kuna wengine walizaa ila hawana watoto leo. So ni neema tu na sio ujanja wake
Wewe umemwelewa kivyako, na mimi nimeandika kutokana na nilivyoelewa pia... so that's it. Kwani ukimlenga mtu mmoja ndo hujakufuru au?Hapa nadhan ume mis interpret ujumbe, sidhani kama alilenge ulicho kielewa wewe
By the way ndo sheria xa dunia zilivo, alikuwa ana mlenga mtu fulani tuu
Me sipo huko snapchat wala sijui wapi wapi. Nimeichukua statement yake kama ilivyo bila kuangalia ilimlenga nani na sijui walipoanzia, but kuna vitu ambavyo huwezi kumuombea hata your worst enemy. As a matter of fact, ni wangapi waliabort ila Leo Mungu kawapa neema ya watoto? Principle ni hii moja, unapobarikiwa na kitu fulani mshukuru tu Mungu, wala usicheke au kudharau wa chini yako. Mungu akiamua yake........hapa lazma anamjibu wema na sio hao.unaowasema lets go to reality
Eeehyalaaa
Me sipo huko snapchat wala sijui wapi wapi. Nimeichukua statement yake kama ilivyo bila kuangalia ilimlenga nani na sijui walipoanzia, but kuna vitu ambavyo huwezi kumuombea hata your worst enemy. As a matter of fact, ni wangapi waliabort ila Leo Mungu kawapa neema ya watoto? Principle ni hii moja, unapobarikiwa na kitu fulani mshukuru tu Mungu, wala usicheke au kudharau wa chini yako. Mungu akiamua yake........
Ni kweli mkuu tuna elewa tofauti lakini, tuvichukue tulivo vielewa halafu tu chuje tutajua tuu point iko wapiWewe umemwelewa kivyako, na mimi nimeandika kutokana na nilivyoelewa pia... so that's it. Kwani ukimlenga mtu mmoja ndo hujakufuru au?
Ujue binadamu tunajisahau sana. Ukipata kakitu unawaona kama wale ambao hawana ni wazembe sijui. Kuna watu hawajaabort ila Mungu hajafungua matumbo yao, wanahangaika hadi huruma. Kwani wewe uliyepewa ni bora zaidi ya hao wengine?, hapana ni kwa neema tu.Umeongea yoteeee....Najua watu kibao uschana wao wakitoa mimba hata 5 ila leo ni wa mama ...yeye anaeringia Watoto hujafa ujaumbika.. Sasa hau watoto wake si wanauwona uchi wa mama yao Sahizi uko kwenye mitandao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapa lazma anamjibu wema na sio hao.unaowasema lets go to reality
"Mtoto" ni kitu very sensitive kwa Mwanamke, mnoooo, unless hujawahi kukutana na wanaotafuta watotoNi kweli mkuu tuna elewa tofauti lakini, tuvichukue tulivo vielewa halafu tu chuje tutajua tuu point iko wapi
Nafikiri ume overreact kwenye huo ujumbe
Jambo ambalo ni kawaida hutokea tuu
Kwa hiyo akisemwa wema, ndo sio kufuru au? Mbona hata Wema kumsema tiffah sijui sio mzuri, alichambwa vizuri tu. Me sinaga mambo ya kindezi ya team, nimeongea kile nilichokiona kwa mtazamo wangu ni sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue mi nashangaa anaye semwa mbona ana fahamika
Halafu mbona wenye mapungufu wengi tuu husemwa tena humu humu jf lakin sija wahi ona watu wana sema hujafa huja umbika
Why this tuu!!?
Mmh kazi ya Mungu Haiingiliwi. ....
BTW so katika vitu vyote alivyowazidi hao wanaofananishwa naye, kubwa ni kwenda labour mara 4?
Anhaa! Nimekusoma"Mtoto" ni kitu very sensitive kwa Mwanamke, mnoooo, unless hujawahi kukutana na wanaotafuta watoto
Oops sijaover-react, ndo tone tu ya kuongea hadi maandishi yangu
Mi mwenyew uwa sinaga timu yeyote,Kwa hiyo akisemwa wema, ndo sio kufuru au? Mbona hata Wema kumsema tiffah sijui sio mzuri, alichambwa vizuri tu. Me sinaga mambo ya kindezi ya team, nimeongea kile nilichokiona kwa mtazamo wangu ni sawa
Sijui kama umeshawahi niona nikichekelea "upungufu" wowote ambao si wa mtu binafsi, ila mipango ya Mungu. Sijawahi na sipendiAnhaa! Nimekusoma
Ila kumbuka kila mapungufu ni very sensitive kwa mwenye shda hyo, so jenga utamaduni wa kukemea kila wanao wasema wenye kasoro
Hapo ntaona uko sahihi
Ila still ni Mungu huyo huyo ambaye kuna watu waliharibu ndoa za watu, Leo kawapa ndoa zao na zinadumu kuliko za wale waliokuwa decent miaka yote. Kutoa mimba sio kitu cha kushangiliwa but pia sio fimbo ya kumchapia mtu. Who knows inawezekana mwenyewe alishatubu kwa Mungu wake, na Mungu sio wewe au mimi, ukute kashasamehewa. Hata mimi na wewe tuna dhambi zetu, na kwa ubinadamu tu tusingestahili neema yoyote. Unavyoomba Mungu akubariki pamoja na dhambi zako ndo na mwenzio anaomba Mungu amkumbuke vile vile pamoja na dhambi zake. So ukibarikiwa usione kuwa labda dhambi yako ni ndogo kuliko ya yule . Onya, Kemea ila usihukumu coz wapo waliotoa mimba na Leo wana watoto wao. Above all waombee sana wanao, huwezi jua watakutana na yapi kwenye maisha yao.Ni kweli ila kuna vingine ni vya kujitakia. Mfano, demu anafanya umalaya na kuchokonoa mimba kila kukicha bila kufikiri ya baadaye. Anakuja kushituka anazeeka na kizazi kinauka then anavaa mito au cushions za makochi tumboni ili aonekane mjauzito na kupewa hongera za kijinga kumbe kizazi kilitoka kitambo. Sasa mtu kama huyu katoa kizazi mwenyewe kuna haja ya kumuonea huruma au kumlaumu Mungu?