Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Jamani Kwa mtazamo wangu
Ingawa sipo upande wa zari wala wema. Siwezi kufananisha uzuri, mvuto ,urembo , umri na majukumu ya kifamilia ya Zari kwa Wema .
Nitakua namuonea wema.
Na kumkosea heshima Zari.
Hivyo basi Zari atafutiwe mtu mwingine wa kufananishwa nae
Au kupambanishwa nae.
Like wise Wema atafutiwe wa saizi yake.
Ili asipwelepwete Kwa Zari.
sawa hapa umenena......
 
Halafu...hivi kasema hivyo tu out of the blue au?

Yaani alikuwa kajikalia tu halafu akaamua kuandika hivyo?

Au kuna watu walimchokoza?
Lazima wamemchokoza ndio maana! Wacha awape dawa.
 
hii picha ya juzi mkuu huyu mwanamama ni mzuri sana na uzuri wa huyu sababu ni chotara kwa ushauri wangu wema Sepetu asihangaike na Zari maana hamuwezi huyu Zari ni mzuri sana halafu kila akizaa uzuri unaongezeka
Wema ana tutumka tu kwa stress viguu vinazidi kuwa vyembamba
 
kisaikolojia mtu anayetumia nguvu yeye nakuwaambia watu yeye ni bora kwakuushihieisha ubora huo mwenyewe ni dhahiri hajiamini anaforce watu wafukie udhaifu uliopo! asubiri aone watu wanamsifia!
Hata uwe mzuri vipi haiwezi kupunguza umri ulionao, haifanyi usiitwe mama wa watoto 4, umeolewa na kijana mdogo, ungekuwa superior aliyekuletea mauzauza asingedhubutu! aliona anaweza kuwa na wengine akarusha huko na 3 kids let jer learn from this! amedate na wangapi baada ya talaka na hawakupapatika kumuoa? ashukuru daimond kamtoa aibu! kuolewa na watoto wanaolingama mwili na baba yao mdogo sio kitu chakujivunia nichakurudiahia Mungu asante!

Watu buana kuzaa kuzaaa eeehhh awaache mabinti wawatu na hao mabinti wamuache mama wawati anakaribia menopause( spelingggg) [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ni hulka yetu Wanaadam ku play victims every time those that we "hit" also hit back, huwa hatukubali makosa kirahisi!

Kwa nilivyoielewa hii statement ya Zari ni kwamba "it's about time she got compared to someone with the same values as those that she posses" kama hivyo alivyotolea mfano; Anataka afananishwe na mwanamke/mdada her own age (35yrs) na mwenye angalau watoto wanne kama yeye then ndio conclusion ya "who is who" ipatikane otherwise ni kumuonea tu kumfananisha na mabinti/wadada ambao hawana hata watoto & wako maybe na 20-30 yrs of age....sio fair.
 
Hivi nyie mnaosema lazima atakuwa kachokozwa yeye amekuwa nani? huyu mama nae hajitambui kwanza siku hizi hamna anaehangaika nae hata hao timu mama ubaya aona wameshamchoka ndo maana hawashughuliki nae ni yeye tu anaona hawamuongelei anaanza kurukaruka kama chura wa snura
 
I hate to see this,yaani huyu Mganda anakuja ktk ardhi yetu anawatukana dada zetu na nyinyi mnamshangilia tu? This woman need to learn a lesson, not.
 
Eva alikuwa anazaa mara3 kwa siku ili aijaze dunia ilikuwa shangwe la maana bustanini
 
Yaani huyu bi.mkubwa anaona Mungu kampendelea sana eeehhh!!??

mi kanikwaza maana nna aunt yangu hana uwezo wa kuzaa!!halafu yuko good in evryrthing kashaambiwa yy ni taxa kabisa yaan daah!
MTU anaingilia kazi ya Mungu!!

My dear mwambie aunt Yesu anaweza!
Jmn!

Za masiku lkn! U gud!?
 
Wema ana tutumka tu kwa stresuu vinazidi kuwa vyembamba
Wema mashabiki zake wanampoteza sana kiukweli Zari sio Level zake hlf nyinyi wadada mzae jamani mm mke wangu ana watoto 2 naona uzuri wake unaongezeka anatanuka sana kwenye nyonga hadi raha na utamu wake unazidi ila mzae ktk ndoa mwanamke akizaa hata utamu unaongezeka
 
Back
Top Bottom