Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hajafanywa chochote yule mzee mwenzetu!wamemfananisha na tu!ndo ugomvi wenyewe!that woman is insecure,hajiamini ht kidogo km anakunya nje!!
haha hii haina mashiko tafta kashfa nyingine tuliumbwa tuijaze duniabossyldy wa kapu la uzazi!
sawa hapa umenena......Jamani Kwa mtazamo wangu
Ingawa sipo upande wa zari wala wema. Siwezi kufananisha uzuri, mvuto ,urembo , umri na majukumu ya kifamilia ya Zari kwa Wema .
Nitakua namuonea wema.
Na kumkosea heshima Zari.
Hivyo basi Zari atafutiwe mtu mwingine wa kufananishwa nae
Au kupambanishwa nae.
Like wise Wema atafutiwe wa saizi yake.
Ili asipwelepwete Kwa Zari.
mh35 kweli Mond alibugi
Umemkata maini chukua 5000 hyo ya biaTEHETEHE PUNGUZA JAZBA...... HUJASKIA STORY YA UPANDE WA PILI. ALIFANYWA NINI MPAKA AKAJIBU
Lazima wamemchokoza ndio maana! Wacha awape dawa.Halafu...hivi kasema hivyo tu out of the blue au?
Yaani alikuwa kajikalia tu halafu akaamua kuandika hivyo?
Au kuna watu walimchokoza?
Me panicking? ???? No thank you.TEHETEHE punguza jazba mwanamama .........
Maisha ni mafupi, cheka tani yako mpenzihaha kila nikikuona nacheka tuu ...
Mmmmh I think "hatuelewani. I'm outwlitumwa atoe mimba nawafaham wa kuwaoneo huruma hata mm ni mwanamke lakin huyu kila leo yupo na wanume tofuti hat hicho kizazi chenyewe kimejixhokea akome
sio kwa sababu sababu za ugumba wake ni kumkufuru mungu period
Wema ana tutumka tu kwa stress viguu vinazidi kuwa vyembambahii picha ya juzi mkuu huyu mwanamama ni mzuri sana na uzuri wa huyu sababu ni chotara kwa ushauri wangu wema Sepetu asihangaike na Zari maana hamuwezi huyu Zari ni mzuri sana halafu kila akizaa uzuri unaongezeka
Watu wanacheza na mungu hawaHata james delicious kwani wazazi wake walijua atakua vile
Yaani huyu bi.mkubwa anaona Mungu kampendelea sana eeehhh!!??
mi kanikwaza maana nna aunt yangu hana uwezo wa kuzaa!!halafu yuko good in evryrthing kashaambiwa yy ni taxa kabisa yaan daah!
MTU anaingilia kazi ya Mungu!!
mzima mama!za kwako?nimekumissMy dear mwambie aunt Yesu anaweza!
Jmn!
Za masiku lkn! U gud!?
mzima mama!za kwako?nimekumiss
tupo mama!!mambo tu mengi mjini hapa!tunaingia kwa kubeepNzuri my dear!
Niko poa!
Miss u too!
Wema mashabiki zake wanampoteza sana kiukweli Zari sio Level zake hlf nyinyi wadada mzae jamani mm mke wangu ana watoto 2 naona uzuri wake unaongezeka anatanuka sana kwenye nyonga hadi raha na utamu wake unazidi ila mzae ktk ndoa mwanamke akizaa hata utamu unaongezekaWema ana tutumka tu kwa stresuu vinazidi kuwa vyembamba