Umbea wa town kutoka kwa Muke ya Simbaaa (Zari)

Kwenda labour ni sifa namba moja ya kua mwanamke. acha atambe kama wamemuanza, wape vidonge vyao na wakomo kabisa kukufuata fuata, wewe ni level nyingine atiiii....
Unaweza ukaenda labour na ukatoka mikono mitupu, kupata watoto isiwe fimbo ya kuwachapia wasio na watoto Tatizo zari ameanza kuu copy uswahili Sasa Zamani ulikua ukijisifu kwa Magari na u Boss Lady sasa unajisifu kwa kuzaa hata panya anazaa lakini mwisho wa siku hajui wanae walipokwenda
 
Nashauri serikali ifanye mpango matumizi ya internet yawe kama North Korea. Ni kwa ajili ya mambo muhimu tu. Hakuna cha Facebook, Snapchat wala Michael Jackson haya mambo yanawatia watu ujinga na uvivu wa kufanyakazi.
 
uzazi tunachezea wenyewe, mungu anakupa uzazi wa kutosha lakini kutwa uko maria stopes maana hujajiandaa, siku ukiamua unataka mungu nae anakubania, wale uliotupa chooni kwani hawakua watoto..!! mungu hataniwi hata siku moja. acha waisome namba wale waliotupa watoto.
 

Hayo ni maoni yako...huna nguvu wala mamlaka ta kuhukumu namna hii,mungu pekee ndio ana uwezo huo,wewe huna

Ni chuki zimekujaa ndio maana unatoa maneno ya kihukumu namna hii
 
Yaani huyu bi.mkubwa anaona Mungu kampendelea sana eeehhh!!??

mi kanikwaza maana nna aunt yangu hana uwezo wa kuzaa!!halafu yuko good in evryrthing kashaambiwa yy ni taxa kabisa yaan daah!
MTU anaingilia kazi ya Mungu!!
hajajisifia kuzaa ila kulinganishwa na mtu ambae hajazaa coz kuzaa kunazeesha, kiukweli mwanamke aliyekwisha zaa mara nne kuwa hot ni ngumu na wapo wachache. (JAPO SIKUWA NAE AKIANDIKA)
 

Na wasotupa Watoto nao wafanyeje?! Mungu kawaonea au
 
Ni mrembo kivipi? Urembo wa umbo na sura tu! Inner beauty ishavurugika. Watoto wanne mishipa imeisha si mchezo. Mi sipo, count me out.
 
Zari hana uzuri wwt wa kawaida kabisa, na injini ishateremka watt 4 si mchezo atii., watu watembee waone kuna wanawake huko duniani ukiwaona utadhani hawaendi chooni, sasa zari anaonekana chooni kwa sana tu anapandishwa chati na weupe wa kimkorogo tu.
 
Kasema ukwel miaka 35 kaenda leba yupo 'hawt'
Hapo alikuwa anawaomba wanamfananisha na wema hawamtendei haki wema ni malaya mwenzie lakini hana miaka 35 na hajaenda leba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…