LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Unaweza ukaenda labour na ukatoka mikono mitupu, kupata watoto isiwe fimbo ya kuwachapia wasio na watoto Tatizo zari ameanza kuu copy uswahili Sasa Zamani ulikua ukijisifu kwa Magari na u Boss Lady sasa unajisifu kwa kuzaa hata panya anazaa lakini mwisho wa siku hajui wanae walipokwendaKwenda labour ni sifa namba moja ya kua mwanamke. acha atambe kama wamemuanza, wape vidonge vyao na wakomo kabisa kukufuata fuata, wewe ni level nyingine atiiii....