babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
kwa upande wako upo sawa umezungumzia "usahihi" mimi nazungumzia "kuendena".Umbo lile kwa mguu ndio sahihi, vinginevyo vingeluwa vichekesho, kukaa na mpira sio kuujua, ball caontrol ya phil jones ni mbovu hafikii walau robo ya erasto nyoni.
Kuna zaidi ya haya unayofikiri wewe.
😂😂😂 uko sahihi ndio maana nimesema " HAVIENDANI" sio havifanani.Ulitaka mguu uwe mviringo,hata ume na uke havifanani ili viwe compartible
Tuelimishane hizo B nipo kujifunza na kubadilishana machache tunayoyafahamuFootball is all about 3 Bs
Kwa hiyo unashauri watengeneze mipira yenye umbo la pembe 4?Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka .
Ndio maana nimesema ni vema kujifunza kianze mapema, soma vizuriKwa hiyo unashauri watengeneze mipira yenye umbo la
Kwa hiyo unashauri watengeneze mipira yenye umbo la pembe 4?
Kwani kujifunza mapema kunabadili umbo la kipi kati ya mpira na miguu?Ndio maana nimesema ni vema kujifunza kianze mapema, soma vizuri
Upo sahihi, hata ukimchukua mtoto mdogo uanze kumfundisha basic za mpira utagundua mpira na miguu haviko sawa, ila anavyozidi kujifunza ndo mfanano wa miguu kwenye mpira huongezeka, hii ina maana kujifunza mpira tangu mdogo kuna utofauti mkubwa na ukiwa mtu mzima. Nimeshuhudia mtu mzima asiyejua mpira akiukanyaga tu anadondoka.kwa upande wako upo sawa umezungumzia "usahihi" mimi nazungumzia "kuendena".
Asante, pia anaezoea kucheza mpira peku siku atakapo pata viatu anaweza kuona ni vigumu kucheza akiwa amevaa viatu lakini baada ya muda huzoea na kuona kawaida tu.Upo sahihi, hata ukimchukua mtoto mdogo uanze kumfundisha basic za mpira utagundua mpira na miguu haviko sawa, ila anavyozidi kujifunza ndo mfanano wa miguu kwenye mpira huongezeka, hii ina maana kujifunza mpira tangu mdogo kuna utofauti mkubwa na ukiwa mtu mzima. Nimeshuhudia mtu mzima asiyejua mpira akiukanyaga tu anadondoka.
Hakuna kinachobadilika kwa umbo. Kinachotokea ni mpira kuwa rafiki na miguu!!K
Kwani kujifunza mapema kunabadili umbo la kipi kati ya mpira na miguu?
Nope!Ball brain
Ball control
Ball balance
Umbo la jembeKwa hiyo unashauri watengeneze mipira yenye umbo la pembe 4?