Umbo lipi linavutia kwa kumtizama kati ya mwenye hips kubwa au tako kubwa!!!

Wema sepetu hamna kitu limekua tukunyema haingii kwenye list ya warembo
 
Mbona zote ni kama mchina at work
 
Awe 20%hips 35%wowowo 44%akili 0.5%maadili 0.3%mjanja 0.2mkimya

kuna anayefikia ivi vigezo apo mkuu?
 
Unajua kiukwel nijuavyo mimi kama mwanaume ni kwamba Marazote mwanamke anatakiwa ajiweke katika hali ya mvuto yan sisi wanaume tupo kwaajil ya kuvutwa na mwonekano wa mwanamke.
Sasa kla mwanamke anavutia sisi wanaume huwa tuntamani mwanamke anayevutia kwhyo unaweza kukutana na mdada anamvuto lakn hana hips wala tako la haja lakn kanakuw na mvuto balaa.
So wanaume huwa tunataman kulingana na mvuto wa mwanamke anawez kupata hips kubwaa au tako kubwaa lkn akakosa mvuto tena ule wa haiba ya kike.
 
Wema sepetu hamna kitu limekua tukunyema haingii kwenye list ya warembo
Sio mrembo ila nimesema aina za nyama mtikisiko katikati unakuta mtu ana wowowo flani amazing wema tako lake ni kubwa lkn km boksi
 
Mi nadhani mvuto mnaanza na vitu km hips na wowowo kumbe sivyo???
 
Mwanamke awe na tacko la kiafrika, paja na liendane na mguu. Na kumaliza utata asiwe na kitambi. Huyo wa kwanza fits the bill.
 
Hips hata pundamilia anazo
Sisi tunatazama WOWOWOOOOO

wale wazee wakutazama ma WoWoWoooo
tupia like hapa ili tujuaneee nilishawahi kumgonga mtu wa bodaboda kisa WoWoWoooooo
 
Hips hata pundamilia anazo
Sisi tunatazama WOWOWOOOOO

wale wazee wakutazama ma WoWoWoooo
tupia like hapa ili tujuaneee nilishawahi kumgonga mtu wa bodaboda kisa WoWoWoooooo
Hahahahaha sawa bwana hips zetu tupambane nazo eti eh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…