KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kuna mtangazaji anaitwa 'Kisa' umemsahau kwenye list.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona zote ni kama mchina at workMfano huyu mpho ana vyote hips na tako la haja View attachment 738229View attachment 738230
Mwingine ni masogange ana tako la haja lakini hips zake sio kuubwa sanaView attachment 738232
Mwingine ni huyu mdada anaitwa linda ana hips za haja lakini tako ni hakunaView attachment 738233View attachment 738234
Maliasili ya taifa sasa ana wowowo(japo lipo kama mstatili) lkn hips zake sasa vichekesho View attachment 738236View attachment 738237
Maoni yangu umbo la mpho khati ni tamu wanawake wote tungeumbwa hivyo hakika wanaume mngepata taabu ya kuchagua
Umbo zuri ni uwe na vyote kwa kiasi lakini ikishindikana hips zikiwepo basi haina mbaya maana hata kutizama huwa tunaanza mbele na sio nyuma
Mi nadhani mvuto mnaanza na vitu km hips na wowowo kumbe sivyo???Unajua kiukwel nijuavyo mimi kama mwanaume ni kwamba Marazote mwanamke anatakiwa ajiweke katika hali ya mvuto yan sisi wanaume tupo kwaajil ya kuvutwa na mwonekano wa mwanamke.
Sasa kla mwanamke anavutia sisi wanaume huwa tuntamani mwanamke anayevutia kwhyo unaweza kukutana na mdada anamvuto lakn hana hips wala tako la haja lakn kanakuw na mvuto balaa.
So wanaume huwa tunataman kulingana na mvuto wa mwanamke anawez kupata hips kubwaa au tako kubwaa lkn akakosa mvuto tena ule wa haiba ya kike.