Hahahahaha sawa bwana hips zetu tupambane nazo eti eh!!!
Nimesema kimuonekano jamani na kwa asili nyie huanza kutamani sio kupenda imeumbwa hivyoSisi tunatizama wowowooooooo linapokuja suala la mvuto wa kingono , kwaiyo mwanamme akikupenda sababu unamakalio weee ujue upo kwaajili ya ngono tu ,unless unamakalio then una sifa za ziada bila ivyo , Wanawake wenye mawowo,mahips uwe hauna wowow , wala hips sijui mann, watabakia kua wastarehee ,kuzalishwa basi.
Lkn asikuambie mtu , haitotokea mimi hapa kumuhesabu mwanamke uzuri wake kutumia Mikalio,au mipaja,au miguu au sura yake.
Mwanamke mzuri nilazima awe mwema,, hayo mengine nimaviungo tu yasokua nafaida yoyote
Haya njoo pm babeNimesema kimuonekano jamani na kwa asili nyie huanza kutamani sio kupenda imeumbwa hivyo
Mambo ya akili huja baadae baada ya kuona kivutio
Unafanana na picha ipi kati ya hao woteMfano huyu mpho ana vyote hips na tako la haja View attachment 738229View attachment 738230
Mwingine ni masogange ana tako la haja lakini hips zake sio kuubwa sanaView attachment 738232
Mwingine ni huyu mdada anaitwa linda ana hips za haja lakini tako ni hakunaView attachment 738233View attachment 738234
Maliasili ya taifa sasa ana wowowo(japo lipo kama mstatili) lkn hips zake sasa vichekesho View attachment 738236View attachment 738237
Maoni yangu umbo la mpho khati ni tamu wanawake wote tungeumbwa hivyo hakika wanaume mngepata taabu ya kuchagua
Umbo zuri ni uwe na vyote kwa kiasi lakini ikishindikana hips zikiwepo basi haina mbaya maana hata kutizama huwa tunaanza mbele na sio nyuma
Mamaaa. Bas we hatari tupuNusu ya huyo wa juu
UsiniUze banaaNshakuuza
Kweli mi ni kaka yakoHahahaha
Haya sema ukweli sasaNimeona