Umbo lipi linavutia kwa kumtizama kati ya mwenye hips kubwa au tako kubwa!!!

Umbo lipi linavutia kwa kumtizama kati ya mwenye hips kubwa au tako kubwa!!!

Sisi tunatizama wowowooooooo linapokuja suala la mvuto wa kingono , kwaiyo mwanamme akikupenda sababu unamakalio weee ujue upo kwaajili ya ngono tu ,unless unamakalio then una sifa za ziada bila ivyo , Wanawake wenye mawowo,mahips uwe hauna wowow , wala hips sijui mann, watabakia kua wastarehee ,kuzalishwa basi.

Lkn asikuambie mtu , haitotokea mimi hapa kumuhesabu mwanamke uzuri wake kutumia Mikalio,au mipaja,au miguu au sura yake.

Mwanamke mzuri nilazima awe mwema,, hayo mengine nimaviungo tu yasokua nafaida yoyote
 
Nimesema kimuonekano jamani na kwa asili nyie huanza kutamani sio kupenda imeumbwa hivyo

Mambo ya akili huja baadae baada ya kuona kivutio
 
Asante kwa picha, nirudi kwenye hoja; akiwa navyo vyote hakika itapendeza sana
 
Mfano huyu mpho ana vyote hips na tako la haja View attachment 738229View attachment 738230

Mwingine ni masogange ana tako la haja lakini hips zake sio kuubwa sanaView attachment 738232

Mwingine ni huyu mdada anaitwa linda ana hips za haja lakini tako ni hakunaView attachment 738233View attachment 738234

Maliasili ya taifa sasa ana wowowo(japo lipo kama mstatili) lkn hips zake sasa vichekesho View attachment 738236View attachment 738237

Maoni yangu umbo la mpho khati ni tamu wanawake wote tungeumbwa hivyo hakika wanaume mngepata taabu ya kuchagua

Umbo zuri ni uwe na vyote kwa kiasi lakini ikishindikana hips zikiwepo basi haina mbaya maana hata kutizama huwa tunaanza mbele na sio nyuma
Unafanana na picha ipi kati ya hao wote
 
Hahah kalio ya wema matata ilee ku moyovime penya
 
Back
Top Bottom