Team Mikia bila kupepesa macho.. .Bongo hakuna soccer ni kuna kabumbu
Akili za Mashabiki wa Simba kama wewe ndizo wanazozitumia akina Aveva ili kuifanya Simba iendelee kufanya vibaya. Hivi kweli wewe mdau unalijua tatizo linaloifanya Simba ifanye vibaya!!!!! Sasa ili uone akili hii ndio wanayotumia akina Hans Poppe jana tu, ameongea na vyombo vya habari kwa kutuhumu kuwa Yanga wanafanya ujanja ujanja hadi kufika hapo walipo. Na ninavyowajua wapenda soka wa nchi hii watamuunga mkono Hans Poppe na watasahau lile sekeseke la kutaka awaachie timu yao. Hans Poppe anacheza na fursa za Umbumbumbu wa Mashabiki wa Simba.Yanga acheni porojo bwana mpira siku hizi hata kama huendi uwanjani tunaona kwenye kideo.Lisemwalo lipo mbona marefa wanafungiwa?
kweli nyie mbu3,mpira tz Hanna Kuna nn sasa,au mpira tz Ni simba Tu,hatujajithatiti kimataifa kama taifa Tu ,kama Hanna mpira acheni kucheza ligi SI Hanna mpiraTz hakuna mpira ni rushwa na uchawi tu.Ndio nakubali simba haina stricker,angekuepo Tambwe this timu mambo yangekua mazuri,timu hii yapaswa auziwe tajiri atakae iendesha kwa faida.
kweli nyie mbu3,mpira tz Hanna Kuna nn sasa,au mpira tz Ni simba Tu,hatujajithatiti kimataifa kama taifa Tu ,kama Hanna mpira acheni kucheza ligi SI Hanna mpiraTz hakuna mpira ni rushwa na uchawi tu.Ndio nakubali simba haina stricker,angekuepo Tambwe this timu mambo yangekua mazuri,timu hii yapaswa auziwe tajiri atakae iendesha kwa faida.
kwa hiyo nyie mnacheza nn soka au kabumbuBongo hakuna soccer ni kuna kabumbu
napenda nikukumbushe vyeo vya g.kaburu ndani ya tff(1)mwenyekiti kamati ya mashindano tff(2)mjumbe mkutano mkuu(2)mjumbe kamati ya utendaji tff.kama mnaamini yanga inabebwa anzeni na hiyo mwenzenu,Ni zambi kubwa simba hii isiyokuwa na mipango na wachezaji bora kuchukua ubingwa,kuhusu kimataifa imebaki history tu kwani mlifanya nn cha maana Sana.pale England Liverpool Ni timu kubwa historical ILA siku hizi wanajipigiatu kama simba vile tunakoelekea mtakuwa pakaTz hakuna mpira ni rushwa na uchawi tu.Ndio nakubali simba haina stricker,angekuepo Tambwe this timu mambo yangekua mazuri,timu hii yapaswa auziwe tajiri atakae iendesha kwa faida.
Zile goli mbili mbili za Yanga waliuza Shs ngapi?
tunaomba msimu ujao mtupunguzie bei bhana maana tunataka kununua bao tatu sisi ni wateja wenu wazuriNyie mashabiki wa Vyura fc.. a.k.a Jecha team.. acheni majungu nyie. . Simba ndo timu bora Tanzania. . mko na midomo kama wake wenza bana! ebo! ??