mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Team Mikia bila kupepesa macho.. .Bongo hakuna soccer ni kuna kabumbu
Mtakoma miaka hii, mpaka adabu iwarudi, ili mufanye vizuri lazima mpeleke rambirambi za Msiba wa Mafisango na mkawaombe radhi Libolo fc kwa kuwapanua njia manake saivi kila mtu anapita tu wala hambani.
Ukiona Simba anashika nafasi ya 3 ujue ligi ipo mwishoni.