Umbwe secondary special thread

Umbwe secondary special thread

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Kama umesoma umbwe secondary njoo tukutane kubadilishana mawazo.

Mkuu wa shule wa sasa ni :Zephania .E. Japhet
Makamo wake ni :Jopa (jina lake maarufu)
Taaluma:madam ZENA NA KIURE

Karibu we mkereketwa wa umbwe secondary
 
Nimefika tena umbwe hivi majuzi..
Siku hizi Umbwe imekuwa full taa..lile giza la Enzi za Makange halipo..Mr. Japhet anafanya kazi yake.
Ule mti "uliokuwa na network" sana a.k.a mti wa mapenzi pale karibu na kanisa la waroma, siku hizi umeanguka..
Wanafunzi wapo 700 na kitu. Skuizi hata hawadouble tena.
Mama Leloo (mke wa mkemia) bado anauza mandazi na bagia.
Pia yule mama alikuwa analeta Doughnuts tamu sana maarufu kama mama uchi/mama Freemason, bado yupo..siku hizi kanunua mpaka gari.
 
Vp pale kwa olomi chai ipo, Androlax je ipo au wazinifu wamepungua, vp somsom wanapatikana wadada poa kama zamani, vp Mzee Kitua kastaafu au yupo, Kitimoto kwa Waziri vp mihogo na samaki mapambano...Soko kombo limechangamkaa..Roho ya paka muuza karanga alishakufa najua, vp Kutoroka kwenda pub...daaah hataree
 
daa mkuu uyu headmaster wa saiz kapageuza seminary saiz lile geti kwa olomi kuna mlinzi madogo wanakaguliwa simu
 
oya mwanakamati tushuke umbwe basi wiki ii
 
Mama freemason ni hatari watu tuko radhi tulowe mvua kupata katizi zake
 
Vp pale kwa olomi chai ipo, Androlax je ipo au wazinifu wamepungua, vp somsom wanapatikana wadada poa kama zamani, vp Mzee Kitua kastaafu au yupo, Kitimoto kwa Waziri vp mihogo na samaki mapambano...Soko kombo limechangamkaa..Roho ya paka muuza karanga alishakufa najua, vp Kutoroka kwenda pub...daaah hataree
Vyote hivo bado vipo na kitua ni patron na mshauri wa wanafunzi
 
daa mkuu uyu headmaster wa saiz kapageuza seminary saiz lile geti kwa olomi kuna mlinzi madogo wanakaguliwa simu
Madogo wanatishika na kufukuzwa shule ,ni mwendo wa nenda kwenu hata ukizima taa ya bwenini bila ridhaa ya wengine
 
Back
Top Bottom