jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Mwaka gan hyo mkuu?. ..mimi nakumbuka head master mmoja alikuwa anaitwa Msele
daa mkuu uyu headmaster wa saiz kapageuza seminary saiz lile geti kwa olomi kuna mlinzi madogo wanakaguliwa simuVp pale kwa olomi chai ipo, Androlax je ipo au wazinifu wamepungua, vp somsom wanapatikana wadada poa kama zamani, vp Mzee Kitua kastaafu au yupo, Kitimoto kwa Waziri vp mihogo na samaki mapambano...Soko kombo limechangamkaa..Roho ya paka muuza karanga alishakufa najua, vp Kutoroka kwenda pub...daaah hataree
oya mwanakamati tushuke umbwe basi wiki iiKama umesoma umbwe secondary njoo tukutane kubadilishana mawazo.
Mkuu wa shule wa sasa ni :Zephania .E. Japhet
Makamo wake ni :Jopa (jina lake maarufu)
Taaluma:madam ZENA NA KIURE
Karibu we mkereketwa wa umbwe secondary
Unaelekea huko kaka?oya mwanakamati tushuke umbwe basi wiki ii
Mama freemason ni hatari watu tuko radhi tulowe mvua kupata katizi zakeNimefika tena umbwe hivi majuzi..
Siku hizi Umbwe imekuwa full taa..lile giza la Enzi za Makange halipo..Mr. Japhet anafanya kazi yake.
Ule mti "uliokuwa na network" sana a.k.a mti wa mapenzi pale karibu na kanisa la waroma, siku hizi umeanguka..
Wanafunzi wapo 700 na kitu. Skuizi hata hawadouble tena.
Mama Leloo (mke wa mkemia) bado anauza mandazi na bagia.
Pia yule mama alikuwa analeta Doughnuts tamu sana maarufu kama mama uchi/mama Freemason, bado yupo..siku hizi kanunua mpaka gari.
Vyote hivo bado vipo na kitua ni patron na mshauri wa wanafunziVp pale kwa olomi chai ipo, Androlax je ipo au wazinifu wamepungua, vp somsom wanapatikana wadada poa kama zamani, vp Mzee Kitua kastaafu au yupo, Kitimoto kwa Waziri vp mihogo na samaki mapambano...Soko kombo limechangamkaa..Roho ya paka muuza karanga alishakufa najua, vp Kutoroka kwenda pub...daaah hataree
Mama freemason ni hatari watu tuko radhi tulowe mvua kupata katizi zake
Madogo wanatishika na kufukuzwa shule ,ni mwendo wa nenda kwenu hata ukizima taa ya bwenini bila ridhaa ya wenginedaa mkuu uyu headmaster wa saiz kapageuza seminary saiz lile geti kwa olomi kuna mlinzi madogo wanakaguliwa simu
Na zimejazia kinoma ukichanganya na bagia za mama leloo uji unashuka murua kabisaNa zilikuwa tamu mnooo...
Sasa hivi ni seminary tosha chini ya Z.E JaphetDah mti safi.
mzee olomi anajuta kuishi karibu na ile shule watu wanapumzikia mtoto tuMtoto wa olomi Neema kamekuwa na chuchu nzuri siku hzi
Halafu nasikia alikua na mimbamzee olomi anajuta kuishi karibu na ile shule watu wanapumzikia mtoto tu