Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

acha nilale sasa, nisalimieni king kong mwambieni asikate tamaa atampata nyani mwenzie

sie binadam tunajuana. baby wangu yupo masomoni akimaliza tutaonana tu.

nitamsubiri hata ipite miaka 1000. na kama asiporudi yeye nawaahidi sitooa tena mwanamke mwingine abadan. katu, hata ikitokea amefariki na mie ntaishi bachela maisha yangu yote.

mlale unono😊😊😊
 
Back
Top Bottom