Kusema ukweli Jf tunachukuliana utani lkn naamini kuna watu humu tume specialized kwenye secta mbalimbali
list secta ambayo ume Specialized ili siku mtu akikwama sehemu kwenye secta yake aja atafute wataalamu hapa tumsaidie
kwangu mimi ni Economics, finance & Banking
Ntashangaa kukuta wale wana jf tunaowachukulia poa kume wame Specialized kwenye secta ngumu