JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 706
- 1,230
Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na IPTL? Mahakama iliamuaje? Kwanini suala hili linafufuliwa kila awamu licha ya maamuzi ya Mahakama ya Rufaa?
Mwanasiasa Zitto Kabwe: IPTL ni dude linalofufuliwa kila Awamu
Kufahamu haya na mengine, usikose kujiunga nasi katika Mjadala maalum na Wataalamu, Alhamisi hii kuanzia Saa 1 jioni hadi 3 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kushiriki bofya Hapa
===
Tunapenda kuwataarifu kuwa mjadala wa Sakata la IPTL uliopangwa kufanyika leo umeahirishwa kwasababu kesi bado ipo Mahakamani na imepangwa kusikilizwa 14 Mei 2025.
JamiiForums inaheshimu taratibu za kimahakama na misingi ya uwajibikaji wa kisheria, hivyo tutaendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa kesi hii na kuwataarifu Wananchi
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na tunawashukuru kwa uelewa wenu. Tunaendelea kuhamasisha uwajibikaji na uwazi katika masuala yote ya umma.